Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam...
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa
nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Disemba
8, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Jumanne Disemba 8, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza na Balozi wa Malawi hapa
nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam
leo Jumanne Disemba 8, 2015.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu toka na Balozi
wa Sweden hapa nchini Mhe. Katarina Rangnitt alipomtembelea Ikulu jijini
Dar es Salaam leo Jumanne Disemba 8, 2015. (Picha na Ikulu)
COMMENTS