NEWS ALERT; BWENI LA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM), LAWAKA MOTO

NEWS ALERT; BWENI LA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM), LAWAKA MOTO   MOTO mkubwa umewaka na kuteketeza sehemu kubwa ya h...

NEWS ALERT; BWENI LA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM), LAWAKA MOTO

 
MOTO mkubwa umewaka na kuteketeza sehemu kubwa ya horofa ya tatu ya block la hotsteli moja ya Wanafunzi wa Kike ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Mabibo jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kwa mujibu wa mashuhuda chanzo cha moto huo kinasadikwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Wanafunzi hao wanadai umeme ulikuwa ukikatika na kurudi kuanzi mida ya saa tisa za asubuhi kuamkia leo na ilipofika saa tatu na dakika kadhaa ndipo waliopoona moshi ukifuka na moto kulipuka katika bloki mojawapo linalotumiwa na wanafunzi wa kike hostelini hapo.
























Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala (wa pili kushoto) pamoja na viongozi wengine wa chuo hicho wakipata maelezo kwa ufupi kutoka kwa Msahuri wa Wanafunzi wa Chuo hicho, Dkt. Rebeka Sima walipofika kwenye hosteli hizo leo baada ya moto kuzimwa na wanafunzi wengi wao wa kiume wa chuo hicho.























Kwa mujibu wa Profesa Mukandala chanzo bado kinafanyiwa utafiti na mara wataalam wa matukio ya moto watakapokamilisha uchunguzi wao watatoa taarifa rasmi. Wakati huo huo wanafunzi walioathiriwa na tukio hilo wameahidiwa kupatiwa malazi na utaratibu uftafanywa kuona kama kuna uwezekano wa kurakebisha horofa ya pili na kwanza ili kuendelea kutumiwa na wanafunzi hao.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT; BWENI LA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM), LAWAKA MOTO
NEWS ALERT; BWENI LA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM), LAWAKA MOTO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwNwsRs7bNmoMYpmN9L-Px5bD5VuBb15l-naZNurKnheINlPq23GgXVDheuvjqLCvtjfgUhWstVO9DXzOCsZ4sjZX670O09DeBZP7RKUbR8HxQdifKmB6NHY9ZmKnxfbTkN1ARolCPRRjJ/s1600/moto-IMG-20150316-WA0001.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwNwsRs7bNmoMYpmN9L-Px5bD5VuBb15l-naZNurKnheINlPq23GgXVDheuvjqLCvtjfgUhWstVO9DXzOCsZ4sjZX670O09DeBZP7RKUbR8HxQdifKmB6NHY9ZmKnxfbTkN1ARolCPRRjJ/s72-c/moto-IMG-20150316-WA0001.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/03/news-alert-bweni-la-wanafunzi-wa-chuo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/news-alert-bweni-la-wanafunzi-wa-chuo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy