MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzani...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton DC, Marekani Feb 6, 2013.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli ya Omni Shoreham.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo katika jengo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku nne katika jiji la Washngton DC nchini Marekani.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Jumuiya ya Watanzania, waishio Washington DC, Marekani, Iddi Sandaly, wakati Makamu alipokutana na Viongozi wa Jumuiya hiyo jijini humo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Seneta, Stive King, wakati wakiagana baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Seneta huyo.
Makamu wa Rais, Dt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani katika jiji la Washington DC, baada ya mazungumzo nao alipowasili jijini humo kwa ziara yake ya siku nne. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim (kulia kwa Dk Bilal). (Picha na OMR)



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WATZ WA JUMUIYA YA WASHNGTON DC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO1-6Ys6quuW4x_8Vac43fUveaRBvLfy_cAwF_Fhq4t8NaN4J4YdYdnC4a8T1iGeLywvSiyTxe6pi3_cIQr0HEu3rdKvD01uLQlwtSfUT0iFlyNV1agzUAY-Cs2043kDfgnN79jHJ8jMh0/s400/wabongo-785324.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO1-6Ys6quuW4x_8Vac43fUveaRBvLfy_cAwF_Fhq4t8NaN4J4YdYdnC4a8T1iGeLywvSiyTxe6pi3_cIQr0HEu3rdKvD01uLQlwtSfUT0iFlyNV1agzUAY-Cs2043kDfgnN79jHJ8jMh0/s72-c/wabongo-785324.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/02/makamu-wa-rais-dkt-bilal-akutana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/02/makamu-wa-rais-dkt-bilal-akutana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy