DK SHEIN ASHIRIKI MAZISHI YA PADRI MUSHI

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akitia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, wakati wa mazis...

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akitia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope.
Baadhi ya waumini wa kanisa katoliki wakiwa katika mazishi ya marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope, Wilaya ya Kaskazini B Unguja, ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu
wasiojukanawa.
Rais wa Zanziba, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao, wakielekea katika mazishi ya Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyezikwa katika viwanja vya kanisa la Kitope, Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga
Antony Banzi, akiongoza sala wakati wa mazishi ya marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyekufa kwa kupigwa risasi Jumapili iliyopita na kuzikwa.

Vijana waumini wa wakikristo wakiteremsha jeneza lenye mwili wa marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, katika kaburi alilozikwa.
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar
Augustino Shao, akitia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope, Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiweka udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi wakati wa mazishi yake.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Dk. Emanuel Nchimbi, akitia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, wakati wa mazishi yake.
Waumini wa mbalimbali kikatoliki wa Kanisa katoliki na wananchi wakifukia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyezikwa Februari 20, katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope.

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadham Polycap Kadinali Pengo (wa pili kushoto) kwa pamoja na maaskofu wengine wakichomeka msalaba katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi, aliyezikwa katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope. 
 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiweka shada la mauwa katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi wakati wa mazishi yake. (Picha na Ramadhan
Othman)
 
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DK SHEIN ASHIRIKI MAZISHI YA PADRI MUSHI
DK SHEIN ASHIRIKI MAZISHI YA PADRI MUSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPQ0jDZkYAP3lGGCi4wsNCKGy7zSAUSxInYcCmfPe27SAIKvEN3mA9f-5R3glazFFRluYKHkT-zjbaxRX6vZqs8tLqyuHliBkHJC_x8CNyhaLQoTPodS2XFLS4gFfGEd9fVoy-t0QWPm9S/s640/IMG_9825-787881.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPQ0jDZkYAP3lGGCi4wsNCKGy7zSAUSxInYcCmfPe27SAIKvEN3mA9f-5R3glazFFRluYKHkT-zjbaxRX6vZqs8tLqyuHliBkHJC_x8CNyhaLQoTPodS2XFLS4gFfGEd9fVoy-t0QWPm9S/s72-c/IMG_9825-787881.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/02/dk-shein-ashiriki-mazishi-ya-padri-mushi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/02/dk-shein-ashiriki-mazishi-ya-padri-mushi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy