CHUO KIKUU ARDHI (ARU) CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR

Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kimetoa mwongozo kwa wanafunzi wa shule za Sekondari za jiji la Dar es Salaam, namna wanavyoweza kujiunga na masomo...


Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kimetoa mwongozo kwa wanafunzi wa shule za Sekondari za jiji la Dar es Salaam, namna wanavyoweza kujiunga na masomo ya elimu ya juu na ufaulu. Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Zanaki waliposhiriki programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Tambaza jijini humo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs) 


Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas  akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea banda mojawapo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam. 

Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania waliposhiriki maonesho yaliyoandaliwa na chuo hicho jijini Dar es Salaam. 

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Gervas Jonas  akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la ARU kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo sehemu ya wageni waliohudhuria maonesho ya ya programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Hadija Maulid akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea maonesho hayo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.

Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mbokani Gama akimpa maelezo mmoja wa wageni alipotembelea maonesho ya programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.

Sehemu ya wanafunzi wakipitia vipeperushi vya maelezo ya michepuo ya masomo mbalimbali yatolewayo katika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) walipotembelea maonesho yaliyoandaliwa na chuo hicho. 

Sehemu ya wanafunzi wakijadiliana jambo walipotembelea maonesho ya programu mbalimbali zinazotolewa na Chuo Kikuu Ardhi (ARU) jijini Dar es Salaam. 

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Reginald Chetto akiwapa maelezo sehemu ya wanafunzi wa shule za Sekondari waliposhiriki maonesho kujionea programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam

Msaidizi wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Latifa Rashidi akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari ya Zanaki walipotembelea moja ya banda katika kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Afisa Uhusiano wa Mwandamizi Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Mary Kagosi akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda la chuo kujionea na kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Hadija Maulid akiwapa maelezo wanafunzi wa Sekondari walipotembelea moja ya banda kupata ufafanuzi wa programu mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho.

Sehemu ya wanafunzi wakijadiliana jambo.

Sehemu ya wanafunzi wakipitia vipeperushi vya maelezo ya michepuo ya masomo mbalimbali yatolewayo katika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) walipotembelea maonesho hayo. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHUO KIKUU ARDHI (ARU) CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR
CHUO KIKUU ARDHI (ARU) CHATOA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI DAR
https://4.bp.blogspot.com/-hFrA0tFmGd4/WwlDx1RfcZI/AAAAAAABGuQ/BwZzqYWulvkjbLt-hI4kOq0aNZAf-xYxgCLcBGAs/s640/1T4A5559.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-hFrA0tFmGd4/WwlDx1RfcZI/AAAAAAABGuQ/BwZzqYWulvkjbLt-hI4kOq0aNZAf-xYxgCLcBGAs/s72-c/1T4A5559.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/chuo-kikuu-ardhi-aru-chatoa-elimu-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/chuo-kikuu-ardhi-aru-chatoa-elimu-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy