TIMU ILIYOSHIRIKI MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA 2018 YAREJEA NCHINI

Bondia Selemani Kidunda akiwasilini leo jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nc...



Bondia Selemani Kidunda akiwasilini leo jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Australia ambapo alikwenda kwa ajili ya Mashindano ya Jumuiya ya Madola  nyuma yake ni Bondia mwenzie Haruna Swanga.


Kiongozi wa Msafara wa wachezaji waliyokwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Australia ambaye Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Yusuph Singo akizungumza na kwa waandishi wa habari (hawapo picha) kuhusu hali ya mashindano pamoja na suala la mchezaji mmoja kutoroka kambini  mara baada ya kuwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa Jijini Dar es Salaam.


Mwanariadha wa kike Sara Ramadhani akiwa amewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini Australia ambapo alikwenda katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola na ameshika nafasi ya tisa katika mbio za Kilometa 42.

Kapteni wa Timu ya wachezaji waliyokwenda nchini Australia katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola Bw.Masoud Mtalaso (kulia) akirejesha bendera aliyokabidhiwa wakati wanakwenda katika mashindano kwa Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Alex Nkenyenge (kushoto) mara baada ya kurejea nchini leo jijini Dar es Salaam (Picha na Anitha Jonas-WHUSM)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TIMU ILIYOSHIRIKI MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA 2018 YAREJEA NCHINI
TIMU ILIYOSHIRIKI MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA 2018 YAREJEA NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO5FpBNzLEkEQxY2iysdtGtMSEvyH9luMV9zC2gg4tiCF4LSV4reFA3CxCUsSXG_LrjHgyZWpCDSDzh9-BHG6x35os91YeSB6Mh4YJK6u1eARJlxDldZ8Hc3kaW35CiQs5bYe2IG0iWJo/s640/PIX+2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO5FpBNzLEkEQxY2iysdtGtMSEvyH9luMV9zC2gg4tiCF4LSV4reFA3CxCUsSXG_LrjHgyZWpCDSDzh9-BHG6x35os91YeSB6Mh4YJK6u1eARJlxDldZ8Hc3kaW35CiQs5bYe2IG0iWJo/s72-c/PIX+2.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/timu-iliyoshiriki-mashindano-ya-jumuiya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/timu-iliyoshiriki-mashindano-ya-jumuiya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy