MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA PRINCE WILLIAM JIJINI LONDON

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Prince William k...






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Prince William katika jumba la Kifalme la Buckingham Palace.
Makamu wa Rais alimweleza Prince William kuwa Tanzania inatambua mchango wake katika kuzuia ujangili wa wanyama pori na Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbali mbali ya kupambana na kuzuia ujangili ingawa bado hatujawa na tekinolojia yenye uwezo wa wa kutambua na kuona wanyama wote lakini tumeendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama pori.
Kwa upande wake Prince Williams alimuahidi Makamu wa Rais kusaidia katika kuboresha ulinzi wa wanyama pori kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu na pia Prince William amemualika Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano unaohusu masuala ya Wanyapori unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu jijini London.
Makamu wa Rais Mhe. Samia yupo nchini Uingereza kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za jumuiya ya Madola.​
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Prince Williams leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace ikiwa sehemu ya ratiba zake jijini London ambapo anamuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya za Madola. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimbidhi picha ya kuchorwa Prince Williams leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace kama zawadi na ishara ya kutambua mchango wa Prince William katika kupambana na ujangili, Makamu wa Rais yupo jijini London kumuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya za Madola. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA PRINCE WILLIAM JIJINI LONDON
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA PRINCE WILLIAM JIJINI LONDON
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEgqEzXBl1cYiR8Vf_fsyaT3eIbq2ojMQZu6dptwE2Hc8Z5Ztuo6Bd0pWV8Sxe9gp2yRK9k_GNQzYjcYqbNNa1shPMOEbNDdtnW4Y3vvFWb8EkWkd31HkvAN8L5LMpRb7M9sC_X_yilG-DcKTKAbppOBB4ikCsKE8utP7drQBb6v7B2tcKc=s0-d-e1-ft
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEgqEzXBl1cYiR8Vf_fsyaT3eIbq2ojMQZu6dptwE2Hc8Z5Ztuo6Bd0pWV8Sxe9gp2yRK9k_GNQzYjcYqbNNa1shPMOEbNDdtnW4Y3vvFWb8EkWkd31HkvAN8L5LMpRb7M9sC_X_yilG-DcKTKAbppOBB4ikCsKE8utP7drQBb6v7B2tcKc=s72-c-d-e1-ft
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-akutana-na-prince.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-akutana-na-prince.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy