TANGA UWASA YADAI BILIONI 3 WATEJA WANAOTUMIA HUDUMA YA MAJI TANGA

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Fares Aram akizungumza kulia ni...


Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa) Mhandisi Fares Aram akizungumza kulia ni Meneja wa Fedha
na Utawala wa Mamlaka hiyo Agnes Lukindo kulia ni
  Meneja Huduma kwa Wateja wa
Mamlaka hiyo,Mohamed Pima akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati wa mkutano wake na vyombo vya habari kuelekea
maadhimisho ya wiki ya maji ambayo hudhimishwa mwezi machi kila mwaka hapa
nchini kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Fares Aram
  
Meneja Huduma kwa Wateja wa
Mamlaka hiyo,Mohamed Pima akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati
wa mkutano wake na vyombo vya habari kuelekea
maadhimisho ya wiki ya maji ambayo hudhimishwa mwezi machi kila mwaka
hapa
nchini kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa
Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Fares Aram
 Mwandishi wa ITV na Radio One Mkoani Tanga William Mngazija kulia akiwa kwenye mkutano huo akifuatia jambo
 Waandishi wa Habari mkoani Tanga
wakifuatilia mkutano huo leo kushoto ni Mbonea Hermani wa Startv
,Mbaruku Yusuph wa Gazeti la Tanzania Daima na Blandina Lukindo wa TK FM
wakifuatilia matukio mbalimbali
  Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya
Waandishi wa Habari Mkoani Tanga (Tanga Press Club) Lulu George kushoto
akiwa kwenye mkutano huo leo
 Mwandishi wa Gazeti la The
Guardian mkoani Tanga Amina Kingazi akiuliza swali kwenye mkutano huo
kushoto ni Mwandishi wa Gazeti la Citizen Mkoani Tanga Paskal Mbunga
 Mwandishi wa Gazeti la Citizen
Mkoani Tanga,George Sembony kushoto akichukua dondoa kwenye mkutano huo
kulia ni Mashaka Kibaya wa Gazeti la Jambo Leo
 Waandishi wa Habari mkoani Tanga wakifuatilia
mkutano huo leo kushoto ni Mbonea Hermani wa Startv ,Mbaruku Yusuph wa
Gazeti la Tanzania Daima na Blandina Lukindo wa TK FM wakifuatilia
matukio mbalimbali
 Mwandishi wa Gazeti la Mtanzania Mkoani Tanga,Amina Omari akisikiliza kwa umakini mkutano huo
 Mwandishi wa Habari wa TBC Joachim Kapembe akiuliza swali kwenye mkutano huo
 Mwandishi wa gazeti la Majira Mkoani Tanga,Mashaka Mhando akiuliza swali katika mkutano huo
 Mwandishi wa Gazeti la Citizen
Mkoani Tanga,Paskal Mbunga katika akiwa na Amina Kingazi wa Guardian
wakiwa kwenye mkutano huo wa pili kulia ni Mwandishi wa ITV na Radio One
Mkoani Tanga William Mngazija
 Sehemu ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo
 Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya
Waandishi wa Habari Mkoani Tanga (Tanga Press Club) Lulu George
akifuatilia matukio mbalimbali kwenye mkutano huo leo
Mwandishi
wa TBC Mkoani Tanga Bertha Mwambela kulia akifuatilia matukio
mbalimbali kwenye mkutano huo leo uliofanyika kwenye ukumbi wa YDCP
Jijini Tanga kushoto aliyenyoosha mkono ni Mbaruku Yusuph Mwandishi wa
Gazeti la Tanzania Daima





MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga(TANGA
UWASA) inawadai wateja wao bilioni 3 zinazotokana na malimbikizo ya madeni yao
katika utumiaji wa huduma ya maji safi na majitaka jambo ambalo linaweza
kuathiri utendaji wake.




Hayo yalisemwa jana na Meneja Huduma kwa Wateja wa
Mamlaka hiyo,Mohamed Pima wakati wa mkutano wake na vyombo vya habari kuelekea
maadhimisho ya wiki ya maji ambayo hudhimishwa mwezi machi kila mwaka hapa
nchini.




Alisema kati ya fedha hizo kiasi cha Bilioni 1.5
wanadaiwa wateja wa majumbani huku taasisi za serikali nazo zikidaiwa bilioni
1.5 hivyo kuwataka kuzilipa fedha hizo kwa wakati ili kuwasaidia mamlaka hiyo
kupanga mambo yake ya kimaendeleo.




“Labda niwaambie kuwa pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi
lakini hivi sasa bado kuna changamoto kubwa ya ulipaji wa madeni ya wateja wetu
hali iliyosababisha deni hilo kuongezeka na hivi sasa kufikia bilioni 3 “Alisema.




“Hali hii inaweza kusababisha usumbufu mkubwa kwetu
kwani hatuwezi kuweka mipango ya kimaendeleo wakati kiasi kikubwa cha fedha
kipo mikononi mwa wateja wetu hivyo tunawaomba walipe madeni yao kwa wakati“Alisema.




Awali akizungumza katika mkutano huo,Kaimu Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Jijini (Tanga Uwasa) Mhandisi
Farles Aram alisema miongoni mwa mikakati waliojiweka ili kuweza kufikia lengo
la ukusanyaji wa madeni hayo ni kutoa msamaha wa gharama za tozo ya urejeshaji
wa huduma ya maji kwa wateja waliokatiwa maji majumbani na taasisi.




Alisema kuwa katika kuelekea kuadhimisha wiki ya maji
na kufikia malengo ya ukusanyaji wa madeni yalioko nje kwa wananchi na taasisi
mbalimbali Mamlaka hiyo imeamua kusamehe tozo hizo ambazo zinatokana na mteja
kukatiwa maji pindi anaposhindwa au kuchelewa kulipia.




Alisema wananchi wengi wanashindwa kuendelea na huduma
hiyo kutokana na kushindwa kulipia gharama za urudishaji maji hivyo kupelekea deni
lao kubakia mikononi na kuingizia hasara Mamlaka.




“Tumegundua mbali ya uwepo wa deni kubwa kwa wateja wetu
 lakini wameshindwa kulilipa kutokana na
kukosa gharaza za urejeshaji hivyo tumewasamehe na tupo tayari kukusanya madeni
hayo kwa makubaliano”Alisema Mhandisi Aram.




Hata hivyo alisema msamaha huo utadumu ndani ya mwezi
mmoja tangu kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya maji ambayo imeanza leo Machi 16

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANGA UWASA YADAI BILIONI 3 WATEJA WANAOTUMIA HUDUMA YA MAJI TANGA
TANGA UWASA YADAI BILIONI 3 WATEJA WANAOTUMIA HUDUMA YA MAJI TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4Ib4rBIU1H7uKkHFb6OLKXPwD4X65ZdFgxUz9YoPumJNUwriBnQgge1YAQQWQoApgRwywj92t9ptmbHm1iXhqIrf-p28be7ucKcEK8z9-SIufpdLxCW7BaKuy3uYHclN97TriL3xSwrM/s640/IMG_8508.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4Ib4rBIU1H7uKkHFb6OLKXPwD4X65ZdFgxUz9YoPumJNUwriBnQgge1YAQQWQoApgRwywj92t9ptmbHm1iXhqIrf-p28be7ucKcEK8z9-SIufpdLxCW7BaKuy3uYHclN97TriL3xSwrM/s72-c/IMG_8508.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/tanga-uwasa-yadai-bilioni-3-wateja.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/tanga-uwasa-yadai-bilioni-3-wateja.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy