RC MAKONDA APOKEA TANI 120 ZA SARUJI KUTOKA VYAMA VYA USHIRIKA 27 VYA MKOA WA DAR

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amepokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na mifuko 2,400 ya s...



Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii


MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
amepokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na mifuko 2,400 ya saruji kutoka kwa Vyama vya ushirika 27 vya Mkoa huo vilivyoguswa na kempeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu Dar es Salaam.


Mifuko hiyo 2,400 ina uwezo wa kufyatua tofali 70,000 ambazo zitajenga ofisi 14 za kisasa kwa ajili ya Walimu.


Akizungumza baada ya kupokea mifuko hiyo Makonda amesema shughuli ya ujenzi wa ofisi za walimu inaendelea vizuri na amewashukuru wadau wote wanaoendelea kuchangia kampeni hiyo inayolenga kuboresha mazingira ya kazi kwa walimu ili waweze kutoa elimu bora kwa wanafunzi.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Jukwaa la Ushirika Dar es Salaam Tumaini Wilfred amesema wameguswa na jitiada zinazofanywa na Makonda katika kuboresha mazingira ya walimu.


Amesema ndio maana wameona umuhimu wa wao kama ushirika wasibaki nyuma katika kufanikisha jambo hilo ambalo ni jema na na la ukombozi wa fikra na kuongeza ushirika utaendelea kuunga mkono kwa kila hali juhudi zinazifanywa na Makonda.



Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (kulia) akizungumza machache Machi 16 2018, jijini mara baada ya kupokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na mifuko 2,400 ya saruji jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii).


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wakiwasili.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akipokea tani 120 za saruji ambazo ni sawa na mifuko 2,400 ya saruji kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Ushirika Dar es salaam Tumaini Wilfred leo jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RC MAKONDA APOKEA TANI 120 ZA SARUJI KUTOKA VYAMA VYA USHIRIKA 27 VYA MKOA WA DAR
RC MAKONDA APOKEA TANI 120 ZA SARUJI KUTOKA VYAMA VYA USHIRIKA 27 VYA MKOA WA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh50KrNrIhDhp85QxTjccR2zvoY4VhytxjMpcLGHc3vt8rj4aH50iYkYIkjtAznzX4FkTP2l6jhxfrrQvBf5bf15_VI_gpf-BSLr86cfxFQAEvQb-N2ugUu0a54I1KwmgquhHB254Kkn17j/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh50KrNrIhDhp85QxTjccR2zvoY4VhytxjMpcLGHc3vt8rj4aH50iYkYIkjtAznzX4FkTP2l6jhxfrrQvBf5bf15_VI_gpf-BSLr86cfxFQAEvQb-N2ugUu0a54I1KwmgquhHB254Kkn17j/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rc-makonda-apokea-tani-120-za-saruji.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rc-makonda-apokea-tani-120-za-saruji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy