MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAAZIMIO MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma , Ma...


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma , Machi 29, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri cha Kupitia Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wapili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpamgo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAAZIMIO MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MAAZIMIO MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgap3B6KmABw_IhCuWa7eWX71bvP1dXrrBf3EhVNbKBf-dTeTsfgF_10P6rM1DEaYHiVfusfSbY4Y2L_Qi32s0a4ojn8eudiudEUB1B6BtStMD_0TXo2ihqGVTprx6gcjpO5fuD25uILoU/s640/PMO_9327.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgap3B6KmABw_IhCuWa7eWX71bvP1dXrrBf3EhVNbKBf-dTeTsfgF_10P6rM1DEaYHiVfusfSbY4Y2L_Qi32s0a4ojn8eudiudEUB1B6BtStMD_0TXo2ihqGVTprx6gcjpO5fuD25uILoU/s72-c/PMO_9327.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/majaliwa-aongoza-kikao-cha-mawaziri.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/majaliwa-aongoza-kikao-cha-mawaziri.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy