MAKATIBU MEZANI WA BUNGE WAPEWA MAFUNZO

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge, Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Mafunzo ha...

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge, Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya wiki moja yanatolewa chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wa pili wa kulijengea Bunge uwezo (LSP II). Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Pius Msekwa ambaye ni mmojawapo wa watoa mada katika mafunzo hayo na Kulia kwa Katibu wa Bunge ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Bi. Nenelwa Wankanga.

Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Pius Msekwa akizungumza wakati wa mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge. Mhe. Msekwa ni mmojawapo wa watoa mada katika mafunzo  hayo ya wiki moja yanatolewa chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wa pili wa kulijengea Bunge uwezo (LSP II).

 Mkurugenzi Mstaafu wa Shughuli za Bunge Ndg. Japhet Sagasii (aliyesimama) akitoa mada wakati wa mafunzo hayo ya Makatibu mezani wa Bunge. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mstaafu- Ofisi ya Bunge Ndg. Charles Mloka ambaye naye ni mtoa mada katika mafunzo hayo.


Spika Mstaafu wa Bunge Mhe. Pius Msekwa wa (pili toka kulia waliokaa), Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai (wa pili toka kushoto waliokaa) katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge maara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BUNGE)





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKATIBU MEZANI WA BUNGE WAPEWA MAFUNZO
MAKATIBU MEZANI WA BUNGE WAPEWA MAFUNZO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhILTM3a5s8VlWQdoGcoPFSZnbiSyoma9XPb0IplyUeAqlIQdQjsdV5TD8W2Bk3Kad-hBhhZRRMzMLtLnrudfuI1nOnYM-Vp1QaKKdl4Y5YjGaeeV3qMLKvu3jLNPR9RDDI1C6j9_meHxA/s640/PIC+A.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhILTM3a5s8VlWQdoGcoPFSZnbiSyoma9XPb0IplyUeAqlIQdQjsdV5TD8W2Bk3Kad-hBhhZRRMzMLtLnrudfuI1nOnYM-Vp1QaKKdl4Y5YjGaeeV3qMLKvu3jLNPR9RDDI1C6j9_meHxA/s72-c/PIC+A.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/makatibu-mezani-wa-bunge-wapewa-mafunzo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/makatibu-mezani-wa-bunge-wapewa-mafunzo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy