DED MNASI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARA YA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA ILEJE

M kurugenzi wa halmashauri ya wilaya Ileje Haji Mnasi akifanya kazi kwa vitendo alivyokuwa anafanya ziara ya kukagua miradi ya ujen...




Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Ileje Haji Mnasi akifanya kazi kwa vitendo alivyokuwa anafanya ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Izuba na shule ya msingi Ilulu na kuhakikisha
wananchi wanachangia nguvu zao kuleta maendeleo kwenye vijiji vyao” alisema
Mnasi
Mkurugenzi
wa halmashauri ya wilaya Ileje Haji Mnasi akifanya kazi kwa vitendo
alivyokuwa anafanya ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa madarasa katika
shule ya msingi Izuba na shule ya msingi Ilulu
Mkurugenzi
wa halmashauri ya wilaya Ileje Haji Mnasi akibadilisha mawazo na baadhi ya viongozi walikuwa kwenye eneo la ujenzi wa 
madarasa katika shule ya msingi Izuba na shule ya msingi Ilulu

Na Fredy Mgunda,Ileje

HALMASHAURI ya wilaya ya Ileje
mkoani songwe imetumia zaidi ya shilingi milioni mia moja themanini katika  ujenzi wa madarasa kwa kutumia fedha za EPFR ambazo
hutolewa na serikali kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu kwa shule za msingi.
 

Akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa kukagua miradi hiyo,mkurugenzi wa Ileje Haji Mnasi alisema
kuwa jukumu la uongozi ni kuhakikisha kuwa pesa inayotolewa na serikali
inatumika kama ilivyokusudiwa na serikali kuu kwa faida ya sekta ya elimu.



“Serikali inatoa pesa nyingi
sana hivyo tusipo simamia vizuri pesa hizi zitapotea kitu ambacho Rais wetu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Maguli hataki kabisa kusikia kuna
pesa ambayo haitumiki kama ilivyokusudiwa ndio maana nimeamua kuanza kukagua
miradi yote ambayo inatekelezwa katika halmashauri yetu” alisema Mnasi 



Mnasi aliwaomba wananchi
kuchangia nguvu zao kuhakikisha shughuli za ujenzi wa madarasa na vituo vya
afya wanajitolea vilivyo ili kuendelea kufanya kazi sambamba na kasi ya
serikali ya awamu ya tano.



“Mimi binafsi nawaomba wananchi
wajitolee kufyatua tofali ,kuchota maji,kubeba mchanga na kusomba tofali ambazo
zinakuwa zimenunuliwa na serikali kwa ajili ya ujenzi ambao utakuwa na faida
kwao na vizazi vijavyo” alisema Mnasi



Aidha Mnasi aliwapongeza
wananchi wa halmashuri ya Ileje kwa kuendelea kujitolea kufanya kazi kwa kuunga
mkono juhudi zinazofanywa na serikali ya wamu ya tano ambayo imelenga kuleta
maendeleo kwa wananchi wake



“Mpaka sasa kuna asilimia kubwa
ambayo wananchi wamekuwa wakijitolea kufanya kazi za kimaendeleo ambazo
zinawahusu japo sio kwa asilimia kubwa kutokana na idadi kubwa ya wananchi
wanaoishi katika wialya hii hivyo nitoe wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza
kwenye maendeleo ili kuijenga ileje yetu mpya” alisema Mnasi



Mnasi alisema kuwa kipaumbele
cha halmashauri kwa sasa ni kuhakikisha kuwa wanaboresha sekta ya elimu na
sekta ya afya ili kukuza maendeleo ya wilaya kwa kasi kubwa.



“Ujenzi unaendelea ni wa
madarasa ya shule ya msingi Izuba na shule ya msingi Ilulu na kuhakikisha
wananchi wanachangia nguvu zao kuleta maendeleo kwenye vijiji vyao” alisema
Mnasi



Naomba nimalizie kwa kupongeza
serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dr John Pombe Maguli kwa kufanya kazi kubwa ya kuhakikisha wananchi
wanapata maendeleo kwa kuboresha sekta za elimu, miundombinu afya na n.k


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DED MNASI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARA YA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA ILEJE
DED MNASI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARA YA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA ILEJE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGeGOzM_0EEo4qDm-wWaf6MgKI-2IvGiGxFk1hEutdHXhCsTJSlyFcz6lXF13vRkPBm-eDYTBNhBiHYmaqvxsg5I-sk4eriZXQPaTDdbDoA37_UM17pX6bmSS5v7OT9Pj9vYkDCurFMv2u/s640/IMG-20180219-WA0161.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGeGOzM_0EEo4qDm-wWaf6MgKI-2IvGiGxFk1hEutdHXhCsTJSlyFcz6lXF13vRkPBm-eDYTBNhBiHYmaqvxsg5I-sk4eriZXQPaTDdbDoA37_UM17pX6bmSS5v7OT9Pj9vYkDCurFMv2u/s72-c/IMG-20180219-WA0161.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ded-mnasi-afanya-ziara-ya-kukagua.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ded-mnasi-afanya-ziara-ya-kukagua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy