BAM INTERNATIONAL YAWAPA SAPOTI WATOTO YATIMA KIMARA DAR ES SALAAM

MENEJA Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla (wa pili kushoto) akikabidhi jiko la gesi...







MENEJA Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla (wa pili kushoto) akikabidhi jiko la gesi kwa Mlezi wa ‘New Hope for Girls Organization’ Consoler Wilbort kwenye makazi ya watoto takribani 38 wa kike mayatima wanaolelewa na familia hiyo Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. Kampuni ya Ujenzi ya Bam International imetoa pia msaada wa vyakula na mahitaji mengine muhimu kwa binadamu kwa familia hiyo. Anayeshuhudia (nyuma kushoto) ni Meneja Kambi na Majengo ya Kampuni hiyo, Wim Mulderij. (Picha na Robert Okanda Blogs)




MENEJA Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla (wa tatu kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada kwa watoto, Loveness Julius (kulia) na Rechol Lazaro wanaolelewa kwenye makazi ya ‘New Hope for Girls Organization’ Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. Kampuni ya Ujenzi ya Bam International imetoa pia msaada wa vyakula na mahitaji mengine muhimu kwa binadamu kwa watoto takribani 38 wa kike mayatima wanaolelewa na familia hiyo. Anayeshuhudia (wa pili kushoto) ni Meneja Kambi na Majengo ya Kampuni hiyo, Wim Mulderij.



Meneja Kambi na Majengo ya Kampuni Kampuni ya BAM International, Wim Mulderij akigawa dawa za mswaki kwa sehemu ya watoto takribani 38 wa kike mayatima wanaolelewa ‘New Hope for Girls Organization’ Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. Kampuni ya Ujenzi ya Bam International imetoa pia msaada wa vyakula na mahitaji mengine muhimu kwa binadamu kwa familia hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni hiyo, Noreen Mazalla.




MLEZI wa ‘New Hope for Girls Organization’ Consoler Wilbort (kushoto) akimkabidhi cheti cha shukrani Meneja Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla wakati wa hafla hiyo, Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana.
MENEJA Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International Noreen Mazalla (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoto takribani 38 wa kike mayatima wanaolelewa ‘New Hope for Girls Organization’ Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. Kampuni ya Ujenzi ya Bam International imetoa pia msaada wa vyakula na mahitaji mengine muhimu kwa binadamu kwa familia hiyo. Pamoja nao (nyuma kushoto) ni Meneja Kambi na Majengo ya Kampuni hiyo, Wim Mulderij.







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BAM INTERNATIONAL YAWAPA SAPOTI WATOTO YATIMA KIMARA DAR ES SALAAM
BAM INTERNATIONAL YAWAPA SAPOTI WATOTO YATIMA KIMARA DAR ES SALAAM
https://i.ytimg.com/vi/D4d0pT2GgCY/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/D4d0pT2GgCY/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/bam-international-yawapa-sapoti-watoto.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/bam-international-yawapa-sapoti-watoto.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy