WAZIRI MAHIGA AWAASA WABUNGE WATEULE WA TANZANIA KWENYE BUNGE LA NNE (4) LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUWA WAZALENDO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi...





Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi wa Wizara hiyo na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Disemba 2017. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Mwenyekiti wa Wabunge wateule wa Bunge la Afika Mashariki, Mhe. Abdullah Makame. 


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akiongea katika kikao hicho ambapo aliwakaribisha Waheshimiwa Wabunge wateule pamoja na kuwaeleza kuwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ipo tayari kuwapa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi. 



Mwenyekiti wa Wabunge Wateule wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah Makame akiushukuru uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kikao kizuri cha utangulizi kabla ya kuanza kwa Bunge hilo na pia akaahidi kuwa wataenda kuliwakilisha Taifa vizuri sambamba na kusimamia maslahi ya Jumuiya kwa maendeleo na ustawi wa wananchi wake. 



Sehemu ya Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Bunge la Afrika Mashariki wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na Mhe. Waziri Mahiga (hayupo pichani) 



Sehemu nyingine ya Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia kikao hicho. 



Wakurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia kikao hicho. Kutoka kulia ni Eliabi Chodota, Bernard Haule na Joachim Otaru.



Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Mbundi akitoa ufafanuzi kuhusiana na taratibu na miongozo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Waheshima Wabunge Wateule. 



Mhe. Waziri na Naibu Waziri wakiwa katika picha ya pamoja na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne la Jumuiya ya Afrika Mashariki. 



Picha ya pamoja uongozi wa Wizara na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MAHIGA AWAASA WABUNGE WATEULE WA TANZANIA KWENYE BUNGE LA NNE (4) LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUWA WAZALENDO
WAZIRI MAHIGA AWAASA WABUNGE WATEULE WA TANZANIA KWENYE BUNGE LA NNE (4) LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUWA WAZALENDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNUDfSZoRrJgv_MYtWTPiQ9-0TA1NgVEtPhQqydfgBkSpoB7iGG03bhKhDEmYSFITUc8DmXMb7oD4GviqW5CNS7RecmLEzzI9HcU_ZYvkJw0N-fa5KBOtQC8DntqnB7agQcQkOqQsHqx_u/s640/719A0870.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNUDfSZoRrJgv_MYtWTPiQ9-0TA1NgVEtPhQqydfgBkSpoB7iGG03bhKhDEmYSFITUc8DmXMb7oD4GviqW5CNS7RecmLEzzI9HcU_ZYvkJw0N-fa5KBOtQC8DntqnB7agQcQkOqQsHqx_u/s72-c/719A0870.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mahiga-awaasa-wabunge-wateule-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mahiga-awaasa-wabunge-wateule-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy