TAASISI YA TANZANIA MORTAGE REFINANCE COMPANY (TMRC) WAKICHANGIA SHILINGI MILIONI 8KWA AJILI YA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WANNE WANAOTIBIWA KATIKA TAASISI JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Mkurugenzi wa Taasisi ya kifedha ya Tanzania Mortage ...






Mkurugenzi Mtendaji wa Taaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Mkurugenzi wa Taasisi ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance Company(TMRC) Oscar Mgaya wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye matatizo ya Moyo na wazazi wao wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya mfano wa hundi ya shilingi milioni nane ambayo wamezitoa kwa ajili ya matibabu ya watoto hao.


Mkurugenzi wa Taasisi ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance Company(TMRC) Oscar Mgaya akiwakabidhi wazazi wa watoto wenye matatizo ya Moyo mfano wa hundi ya shilingi milioni nane ambazo zimetolea na Taasisi hiyo kwa ajili ya matibabu ya watoto wane.



Mkurugenzi Mtendaji wa Taaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Mkurugenzi wa Taasisi ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance (TMRC) Oscar Mgaya wakizungumza baada ya kumaliza makabidhiano ya hundi ya shilingi million nane kwa ajili ya kuwezesha matibabu ya moyo kwa watoto wanne. (PICHA na JKCI)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAASISI YA TANZANIA MORTAGE REFINANCE COMPANY (TMRC) WAKICHANGIA SHILINGI MILIONI 8KWA AJILI YA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WANNE WANAOTIBIWA KATIKA TAASISI JKCI
TAASISI YA TANZANIA MORTAGE REFINANCE COMPANY (TMRC) WAKICHANGIA SHILINGI MILIONI 8KWA AJILI YA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WANNE WANAOTIBIWA KATIKA TAASISI JKCI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioq-heCWRo10jb7DJgDtSwqYw7pK7VCDxVLevtr19qprbFcq2XbhvCZfhwrcbn3eulOteAOcF1zzWDRYJUdMRL5zbgTTHIAtKNJDGCLVxHBGhlWs6vq857KlzkE2kkThyRvzx6DRtLvC2K/s640/PICHA+NAMBA+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioq-heCWRo10jb7DJgDtSwqYw7pK7VCDxVLevtr19qprbFcq2XbhvCZfhwrcbn3eulOteAOcF1zzWDRYJUdMRL5zbgTTHIAtKNJDGCLVxHBGhlWs6vq857KlzkE2kkThyRvzx6DRtLvC2K/s72-c/PICHA+NAMBA+1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/taasisi-ya-tanzania-mortage-refinance.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/taasisi-ya-tanzania-mortage-refinance.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy