SBL YAZINDUA KAMPENI YA KUITANGAZA WHISKY YA JOHNNIE WALKER BLACK LABEL

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL Cesear Mloka Akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema jana katika uzinduzi wa kampeni y...

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL Cesear Mloka Akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema jana katika uzinduzi wa kampeni ya kuitangaza Whisky ya Johnie Walker Black label ambayo inaambatana na maadhimisho ya miaka 20 ya Kampuni mama ya Diageo.Pembeni yake ni Meneja Masoko  Nicholaus Machugu.


wadau wakionja ladha ya Whisky ya Johnnie Walker Black Label  mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya kuitangaza mapema jana .


Mkurugenzi wa Masoko wa SBL Cesear Mloka Akizungumza na waandishi wa habari mapema jana katika uzinduzi wa kampeni ya kuitangaza Whisky ya Johnie Walker Black label ambayo inaambatana na maadhimisho ya miaka 20 ya Kampuni mama ya Diageo.  • Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya Kampuni mama ya Diageo

Dar es Salaam, Desemba 14, 2017- Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
leo imetangaza uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya pombe kali aina ya Johnnie
Walker (JW) Black Label inayojulikana kama, ‘JW Paints Tanzania Black’.
Katika kampeni hii, shughuli
mbali mbali zitafanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya kampuni
mama ya Diageo yatakayofanyika tarehe 15/12/2017. Diageo ndiyo mwana hisa
mkubwa kwenye kampuni ya SBL.
Ikiwa inatengenezwa na kampuni ya
Diageo na kusambazwa na SBL kwa hapa Tanzania, Johnnie Walker Black Label ambayo
ni Whisky ya Kiskoti inachukuliwa na wataalamu kama ndiyo whisky bora zaidi
duniani huku ikijali thamani ya pesa kwa watumiaji wake.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa
Masoko wa SBL Cesear Mloka, kampeni hiyo itaanza kwa programu ya kuongezewa
maarifa kwa wafanyakazi wa SBL ambayo itakwenda hadi katika ngazi ya marafiki,
wanafamilia pamoja na wadau wa biashara.
“Tunatarajia kuwa na tukio la
kufurahisha litakaloongozwa na wafanyakazi wetu ambao wataelezea ufahamu wao
pamoja na mapenzi yao kwa Johnnie Walker kwa watumiaji wa kinywaji hicho kwenye
sehemu mbali mbali kinapouzwa hapa nchini kama Bella Whispes, The Great, KB
Tabata Green Palm, Lachaz, MK, TIPS, Kuringe, Triple A, Front View, Dodoma Carnival na Golden Crest. 
Tukio hili halitafanyika hapa Tanzania peke yake, bali linafanyika siku hiyo hiyo katika nchi 180 ambako Diageo inafanya biashara zake na ambako Johnnie Walker Black Label inapatikana.

Tanzania ni sehemu  ya kampeni ya kidunia ya JW inayojulikana kama ‘Paint the World Black’ kuadhimisha shughuli hii yenye mafanikio makubwa,” alisema Mloka wakati wa uzinduzi uliofanyika Dar es Salaam.

Mloka aliongeza kuwa, kampeni hiyo itatangazwa kwenye magazeti, radio na televisheni, mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vya mawasiliano ya ndani ya kampuni.

Kampuni ya SBL pia imezindua maeneo maalum ya kufanya manunuzi ya whisky ya Johnnie Walker Black Label mpaka mwishoni mwa mwezi Disemba katika maduka ya vileo yaliyopo Dar es Salaam ya Kibong'oto, Lamana, Master Liquor, Madeira & Herera pamoja na Arusha ya New Open Center & Chware Stores. Johnnie Walker Black Label iliyoyachanganywa ina umri wa miaka 12 na Ilitengenezwa wakati Johnnie Walker ikitimiza miaka 100 tangu ilipotengenezwa kwa mara ya kwanza mwaka 1909. Ladha yake ni mchanganyiko wa kipekee wa kimea, matunda, cocoa pamoja na vanilla.
Ikiwa inauzwa takribani kila nchi duniani, ni whisky ya Kiskoti inayosambazwa zaidi duniani.
JW Black Label inakuja katika
kifungashio tofauti na endelevu (ikiwa kimstatili na nembo mbinjuko) huku
ikitoa fursa maridhawa nay a hali ya juu ya ufungashaji wa zawadi kwa wale
watumiaji wanaotazamia suluhisho la ufungashaji wa zawadi.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SBL YAZINDUA KAMPENI YA KUITANGAZA WHISKY YA JOHNNIE WALKER BLACK LABEL
SBL YAZINDUA KAMPENI YA KUITANGAZA WHISKY YA JOHNNIE WALKER BLACK LABEL
https://2.bp.blogspot.com/-AKP8HIbKIQc/WjOJM8rkpQI/AAAAAAAAhdI/YEb3e94UcqUB0Sh1KladWFuvIIz-m1RvACLcBGAs/s640/_MG_5644.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-AKP8HIbKIQc/WjOJM8rkpQI/AAAAAAAAhdI/YEb3e94UcqUB0Sh1KladWFuvIIz-m1RvACLcBGAs/s72-c/_MG_5644.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/sbl-yazindua-kampeni-ya-kuitangaza.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/sbl-yazindua-kampeni-ya-kuitangaza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy