MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TIZA WA UVCCM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mbunge wa Kinondoni na mwa...





Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mbunge wa Kinondoni na mwanachama mpya Ndg. Maulidi Mtulia baada ya kusalimia wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM  katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni kutoka vyama rafiki toka nchi mbalimbali baada ya kufungua mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na David Kafulilah mmoja wa wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wa meza kuu wakimsikiliza mwanachama mpya Ndg. Alfred Msando akisalimia wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi meza kuu wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa pamoja na wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017. 



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM  katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba  10, 2017



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi  mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma Disemba 10, 2017. (PICHA NA IKULU)























































COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TIZA WA UVCCM MJINI DODOMA
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TIZA WA UVCCM MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJkBvzZVpCkud2ltgfXfeSPjl10xvkCEcSAvg5R3lBwNnUrMyGHFpg653weoi6fbawSNnmMcMEOyoEYLfaubrdESaP0MUhSEgkXcJ9J5DLJQ95ipLdAwGYIcrksiZsn4_FfMLjxzahgHc/s640/u17.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJkBvzZVpCkud2ltgfXfeSPjl10xvkCEcSAvg5R3lBwNnUrMyGHFpg653weoi6fbawSNnmMcMEOyoEYLfaubrdESaP0MUhSEgkXcJ9J5DLJQ95ipLdAwGYIcrksiZsn4_FfMLjxzahgHc/s72-c/u17.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuli_11.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuli_11.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy