IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS)...


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa Polisi wakati wa hafla fupi ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama hicho uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao. (Picha na Jeshi la Polisi)




Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro( hayupo pichani) wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze kuboresha maisha yao.(Picha na Jeshi la Polisi)




Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS)  wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa SACCOS hiyo wakati wa hafla fupi ya kufunga mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro. Picha na Jeshi la Polisi)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO
IGP SIRRO AFUNGA MKUTANO WA URRA SACCOS MKOANI MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBSyjNsGIhESTLvlKpoFP86NPI4KyqKjyifj9MklX_dbKAmJgKuWTV7mZz059eQduL1qeYHoq1nsJ1E8lrpS_BH0zjkl8rWHxwyzmpenyBqAeKEVKM0dDImOVG4jcy3ouoCVLWB8nd1Dc/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBSyjNsGIhESTLvlKpoFP86NPI4KyqKjyifj9MklX_dbKAmJgKuWTV7mZz059eQduL1qeYHoq1nsJ1E8lrpS_BH0zjkl8rWHxwyzmpenyBqAeKEVKM0dDImOVG4jcy3ouoCVLWB8nd1Dc/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/igp-sirro-afunga-mkutano-wa-urra-saccos.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/igp-sirro-afunga-mkutano-wa-urra-saccos.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy