TAMASHA LA MZIKI MNENE LAACHA HISTORIA JIJINI MWANZA

Binagi Media Group Maelfu ya wapenzi wa burudani Jijini Mwanza jana wamefurahia tamasha la Mziki Mnene linaloandaliwa na EFM radio na...


Binagi Media Group

Maelfu ya wapenzi wa burudani Jijini Mwanza jana wamefurahia tamasha la Mziki Mnene
linaloandaliwa na EFM radio na ETV za Jijini Dar es salaa ambapo wasanii
mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah walipata shangwe kubwa kwenye tamasha hilo
lililofanyika uwanja wa CCM Krumba.

Wasanii wengine waliokonga nyoyo za mashabiki zao ni TID, Snura, Young Killer, Baraka
Da Prince, Shoro Mwamba pamoja na Msaga Sumu huku Stone Fire akiibuka mkali wa
Singeli Michano Mwanza baada ya kuwabwaga washiriki zaidi ya 20.

Afisa Uhusiano wa EFM Radio, Jesca Mwanyika anasema tamasha hilo mbali ya kuwa ni sehemu ya
shukurani kwa wasikilizaji wa redio hiyo pamoja na watazamaji wa TVE, pia
limelenga kuibua na kuendeleza vipaji vya wasanii hususani wa Singeli.



Tayari limekwisha fanyika katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dar es salaam, Mtwara na
Mwanza na kwamba litaendelea katika mikoa mingine hivyo mashabiki wa burudani
waendelee kufuatilia EFM Radio na TVE kwa taarifa mbalimbali ikiwemo tamasha la
Mziki Mnene linalopewa nguvu na Biko pamoja na Cocacola.

Mkali wa Singeli, Msaga Sumu akidondosha burudani kwenye jukwaa la Mziki Mnene CCM Kirumba Jijini Mwanza. Shoro Mwamba akishambulia jukwaa la Mziki Mnene na ngoma za moto moto za Singeli. Young Killer alikonga nyoyo za mashabiki zake Jijini Mwanza.
Kala Jeremiah alidondosha burudani kali kiasi cha mashabiki kugoma asishuke jukwaani.
Mnyama TID akitumbuiza kwenye jukwaa la Mziki Mnene Jijini Mwanza.
Watangazaji wa EFM Radio wakisherehesha tamasha hilo.


Dj Ommy Craizy akifanya yake kwenye jukwaa la Mziki Mnene Jijini Mwanza.
Afisa Uhusiano wa EFM Radio, Jesca Mwanyika akizungmzia tamasha la Mziki Mnene.
Shangwe za wapenzi wa burudani Jijini Mwanza kwenye tamasha la Mziki Mnene.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMASHA LA MZIKI MNENE LAACHA HISTORIA JIJINI MWANZA
TAMASHA LA MZIKI MNENE LAACHA HISTORIA JIJINI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqH7R-tLa6qcPT07LdWueHysF5pPHS9Xv6rJDz8PTbG_-bqzGVdZjLYb-cZLysV0NWtTEQZp9GfyjOhSozOR30qyDucsripEIhePeBsASrRWg3UZj1dn1nN3eZUDU586aV4aBPuik0DXg/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqH7R-tLa6qcPT07LdWueHysF5pPHS9Xv6rJDz8PTbG_-bqzGVdZjLYb-cZLysV0NWtTEQZp9GfyjOhSozOR30qyDucsripEIhePeBsASrRWg3UZj1dn1nN3eZUDU586aV4aBPuik0DXg/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tamasha-la-mziki-mnene-laacha-historia.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tamasha-la-mziki-mnene-laacha-historia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy