SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA URUSI NA KIONGOZI WA BUNGE LA NCHI HIYO.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Urusi na kiongozi wa Bunge la n...


Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Urusi na kiongozi wa Bunge la nchi hiyo Komredi Gennady Zyuganov (katikati) alipomtembelea ofisini kwake. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini huko, Jenerali Mstaafu Wynjones kisamba. Mheshimiwa Spika yupo nchini humo kushiriki mkutano wa 137 wa Chama cha Mabunge Duniani.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akifanya mazungumzo na Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Urusi na kiongozi wa Bunge la nchi hiyo, Komredi Gennady Zyuganov (wa pili kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake katika maadhimisho ya miaka 100 ya Mapinduzi Makuu ya Urusi. Mheshimiwa Spika yupo nchini Urusi, akishiriki Mkutano wa 137 wa Chama cha Mabunge Duniani unaoendelea leo Jijini St. Petersburg, UrusiSpika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akivishwa nishani maalum ya maadhimisho ya miaka 100 ya Mapinduzi Makuu ya Urusi na Kiongozi wa Chama cha kikomunisti cha Urusi, Komredi Gennady Zyuganov ambae ni Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Urusi na kiongozi wa Bunge la nchi hiyo alipomtembelea ofisini kwake. Mheshimiwa Spika yupo nchini humo akishiriki Mkutano wa 137 wa Chama cha Mabunge Duniani. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA URUSI NA KIONGOZI WA BUNGE LA NCHI HIYO.
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA URUSI NA KIONGOZI WA BUNGE LA NCHI HIYO.
https://2.bp.blogspot.com/-D8wULgIlnR4/Wenx7XjjHOI/AAAAAAAA_8A/hKA2Nd72ZXoNNe-iDygEeyij45bBWDO-QCLcBGAs/s640/IMG-20171020-WA0025.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-D8wULgIlnR4/Wenx7XjjHOI/AAAAAAAA_8A/hKA2Nd72ZXoNNe-iDygEeyij45bBWDO-QCLcBGAs/s72-c/IMG-20171020-WA0025.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/spika-ndugai-akutana-na-kiongozi-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/spika-ndugai-akutana-na-kiongozi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy