SBL YAZINDUA MSIMU WA PILI WA ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ NDANI YA MIKOA MITANO.

 Meneja wa bidhaa wa SBL Ester Raphael  akizungumza na vyombo vya habari kabla ya kuanza uzinduzi wa msimu wa pili wa kampeni ya  ‘’SMIRN...


 Meneja wa bidhaa wa SBL Ester Raphael  akizungumza na vyombo vya habari kabla ya kuanza uzinduzi wa msimu wa pili wa kampeni ya ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ Ambayo ilizinduliwa mapema mwishoni wa wiki iliyopita katika fukwe za Coco Jijini Dar es salaam na kuwakutanisha Madj 30 ambapo wanatafutwa Madj 10 kuingia Fainali.


Mmoja wa washiriki wa shindano la ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’  Akiwa katika mashine kuonesha ujuzi wake huku jaji mkuu DJ PQ akimsikiliza kwa makini mapema mwishoni wa wiki iliyopita katika fukwe za Coco.











Washiriki wa shindano la ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ Wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya uzinduzi wa kampeni hiyo inayoendeshwa katika mikoa mitano huku wakitafuta washindi watatu watakaoibuka na zawadi kutoka SBL


Mmoja wa washiriki wa shindano la ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ akiwa katika mashine kuonesha ufundi wake katika hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo mapema mwishoni wa wiki iliyopita katika fukwe za Coco Jijni Dar es salaam.




Baadhi ya mashabiki waliokuja kushuhudia uzinduzi wa kampeni ya ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ wakifuatilia kwa makini washiriki wakionesha uwezo wao katika kuchanganya mziki mapema mwishoni wa  wiki iliyopita katika fukwe za Coco Beach .


Mshiriki wa shindano la ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’ akionesha umahiri wake katika kutumia mashine mapema mwishoni wa wiki  ikiyopita katika fukwe za Coco.





Dar es Salaam, Oktoba 14 2017-Kampuni  ya bia ya Serengeti (SBL) leo  imezindua upya  msimu wa pili wa ‘’Smirnoff ice black’’ (SIB) Dj search . Kampeni  hii  ya miezi mitatu itakayolenga kusaka Dj bora na kuleta karibu kinywaji hicho kwa watumiaji  wake nchi nzima.

Akiongea katika uzinduzi huo Coco Beach Dar es Salaam Meneja wa bidhaa wa SBL Ester Raphael amesema mashindano haya yana dhumuni la kuhamasisha na
kuvutia watumiaji wapya wa kinywaji hicho huku wakishindanisha maDJ nchi nzima
na kupata vinara watatu ambao watapa ta zawadi nono.

Lengo jingine la uzinduzi huu alifafanua  Ester ‘’Ni kuongeza ufahamu wa kinywaji hicho
kwa watumiaji wake kwamba ni kinywaji ambacho kipo tayari kwa kunywa na
kuhamasisha kuwa ina ladha ya kipekee ya limao.

 “Tunaamini kwa kupitia shindano hili , SBL itatoa msisimko kwa wateja wake na muziki mzuri na nafasi ya kipekee kuonyesha uwezo wa MaDj wanaochipukia’’. Ester ametaja mikoa ambayo shindano hilo litafanyika, mikoa hiyo ni pamoja na Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Morogoro,
and Mwanza kila mkoa kutoa maDj 10 na jumla kuwa maDJ 50, mwishoni
watapambanishwa na kupata washindi watatu ambao watapokea zawadi kutoka SBL.

“Kutakuwa na zawadi kwa washindi wetu”, alifafanua na kusema zawadi hizo zitajumuisha DJ
kits, laptops na controllers kwa washindi watatu watakaofika finali hizo.

Ester alimalizia kwa kusema “Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwaalika maDj wote na
wapenzi wa muziki kujumuika nasi katika shindano hili ili kusherekea kwa pamoja
na kinywaji chetu cha Smirnoff Ice Black’’







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SBL YAZINDUA MSIMU WA PILI WA ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ NDANI YA MIKOA MITANO.
SBL YAZINDUA MSIMU WA PILI WA ‘’SMIRNOFF ICE BLACK DJ SEARCH’’ NDANI YA MIKOA MITANO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0-34mj23J_mDi5-gO99TVFo_vJ7lGN1EBxIh-8HdeWxk-dCdxaG4a-11X9vsFiSO6pCMfVXIFjPRpIXjALI1u7GKCphI9Taip8CE3OSCCGZREN7cWWQrvuy1XZcNAm05E1MNB5rQt9t0/s640/IMG_0118.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0-34mj23J_mDi5-gO99TVFo_vJ7lGN1EBxIh-8HdeWxk-dCdxaG4a-11X9vsFiSO6pCMfVXIFjPRpIXjALI1u7GKCphI9Taip8CE3OSCCGZREN7cWWQrvuy1XZcNAm05E1MNB5rQt9t0/s72-c/IMG_0118.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/sbl-yazindua-msimu-wa-pili-wa-smirnoff.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/sbl-yazindua-msimu-wa-pili-wa-smirnoff.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy