RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata n...



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakaribisha vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipakua chakula na mmoja wa vijana sita waliokimbiza Mwenge wa Uhuru aliowaalika kupata naye chakula cha mchana Ikulu Zanzibar leo Oktoba 15, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenister Mhagama wakiwa kwenye picha ya kumbukumbu na vijana hao.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na vijana hao. (Picha na Ikulu)





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
RAIS DKT MAGUFULI APATA CHAKULA CHA MCHANA NA VIJANA WALIOKIMBIZA MWENGE MWAKA HUU IKULU ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyOUeQIwn57wKdifx1yNmcGzlCk-uegPV8JQ1EUWE5PnNu2gb8hpuYUS_bdpQ4E3imtmDF1Dm4w3CUzbBbk9JyMyd9CdmpqcHbglCmPBfL-mVH_eH-gTBwQfZgc0jdqmaIe6NBa5g4UEY/s640/za1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyOUeQIwn57wKdifx1yNmcGzlCk-uegPV8JQ1EUWE5PnNu2gb8hpuYUS_bdpQ4E3imtmDF1Dm4w3CUzbBbk9JyMyd9CdmpqcHbglCmPBfL-mVH_eH-gTBwQfZgc0jdqmaIe6NBa5g4UEY/s72-c/za1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-apata-chakula-cha.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-apata-chakula-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy