MSHINDI WA SINGELI MICHANO YA EFM MWANZA APATIKANA

Watanzania hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambarag...Watanzania hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14,1999 akiwa nchini Uingereza kwa ajili ya matibabu.Lakini wakati huo huo katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, uliofunguliwa na Mwl.Nyerere mwaka 03.02.1980 kunafanyika tamasha la Mziki Mnene linaloandaliwa na EFM & ETV za Dar es salaam.Katika tamasha hilo kuna matukio muhimu yanafanyika ambapo asubuhi tayari mazoezi ya viuongo (Jogging) pamoja na kumsaka mkali wa muziki wa Singeli yaani "Singeli Michano" yamefanyika. Mchana kutakuwa na mchezo wa soka baina ya kikosi cha EFM&ETV na timu ya Mwanza Veteran na jioni hadi kuchee itakuwa burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali.BMG imekusogezea mshindi wa Singeli Michano Mwanza #Live kutoka uwanja wa CCM Kirumba ambako tamasha hilo lililodhaminiwa na wadhamini kadhaa ikiwemo Biko, Cocacola na JB Fairmont Hotel linafanyika.
BMG Habari, Pamoja Daima!

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MSHINDI WA SINGELI MICHANO YA EFM MWANZA APATIKANA
MSHINDI WA SINGELI MICHANO YA EFM MWANZA APATIKANA
https://1.bp.blogspot.com/-T6CD75ZwxzI/WeHrlVvhSEI/AAAAAAAATyM/B1FYhYmPT4IFFJ5wgRtUyjCaAtvnnctoACLcBGAs/s640/StoneFire.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-T6CD75ZwxzI/WeHrlVvhSEI/AAAAAAAATyM/B1FYhYmPT4IFFJ5wgRtUyjCaAtvnnctoACLcBGAs/s72-c/StoneFire.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mshindi-wa-singeli-michano-ya-efm.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mshindi-wa-singeli-michano-ya-efm.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy