MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO

Mtaalamu wa masuala ya Masoko kutoka Ufilipino, Dk.Wenfredo Muni akikabidhiwa zawadi ya maua na Meneja Uhusiano wa Mtandao wa Kijani Kib...


Mtaalamu wa masuala ya Masoko kutoka Ufilipino, Dk.Wenfredo Muni akikabidhiwa zawadi ya maua na Meneja Uhusiano wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita), Neema Fredrick wakati wa mapokezi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  jioni hii. Aliyevaa fulana ya njano ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange na Mdau Haji Mohamed. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Dk Muni akilakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange

 Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mkikita, Elizabeth akimsalimia Dk. Muni

 Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Rashid Seif akisalimiana na Dk. Muni

 Dk. Rashid Seif akikumbatiana kwa fura na Dk. Muni wakati wa mapokezi

 Dkt. Muni akifurahia zawadi ya shada la maua.


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mkikita, Dk. Kissui S Kissui akisalimiana na Dk. Muni wakati wa kumlaki mgeni huyo kutoka ufilipino.

 Mdau Suchekk Bangragh ( wa pili kulia akimlaki kwa furaha Dk Muni

 Wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni Dk. Muni

 Dk. Muni huyoooooooo

 Wakiangalia pasi ya kusafiria ya Dk MuniWakiondoka Uwanja wa NdegeNa Richard Mwaikenda


UONGOZI  wa Mtandao wa Kijani 


Kibichi Tanzania (Mkikita), ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dk. Kisusui S Kissui   na Mkurugenzi Mtendaji, Adam Ngamange kumlaki Mtaalamu wa Masoko kutoka Ufilipino,  Dk.Wenifredo Muni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.


Mtalaamu huyo ambaye atakuwa nchini kwa miezi mitatu kwa mualiko wa Mkikita atafanya semina mbalimbali pamoja na kutembelea mashamba yanayosimamiwa na matandao huo yakiwemo pia ya watu binafsi blia kusahau mifugo.


Akizungmza wakati wa mapokezi, Mkurugenzi wa Mkikita, Adam Ngamange amesema kuwa ujio wa mtalaamu huyo utawanufaisha wakulima na wafugaji wa mtandao huo kwa kupanua uwanja mpana wa masoko ya mazao na mifugo nje ya nchi.


Aliwaasa wanachama kutoiacha fursa hiyo pekee ambayo haijawahi tokea na kuwataka kuhudhuria semina zilizoandaliwa ili wapate matokeo chanya ya fursa za masoko duniani.


Katika mapokezi hayo Mkikita iliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dk. Kissui S Kissui, Wajumbe wa Bodi, Catherina Edward, Neema Fredrick na Elizabeth na baadhi ya wanachama wa mtandao huo.


Wadau wengine waliojitokeza kumpokea ni aliyekuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Rashid Seif., Haji Mohamed, Suchekk Bangragh na Mbaga Edward.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO
https://3.bp.blogspot.com/-YT996LTfzFA/WeouoqxGjJI/AAAAAAABHJc/SgQd3-3fUDQAMGGVns1WST-hwzd9rmBIACLcBGAs/s640/01.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-YT996LTfzFA/WeouoqxGjJI/AAAAAAABHJc/SgQd3-3fUDQAMGGVns1WST-hwzd9rmBIACLcBGAs/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mkikita-wamlaki-kwa-shangwe-mfilipino.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mkikita-wamlaki-kwa-shangwe-mfilipino.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy