CHAMA CHA WAFANYAKAZI (TUGHE) MKOA WA DAR ES SALAAM CHAPATA MWENYEKITI MPYA

Mwenyekiti mteule wa Chama Cha Wafanyakazi mkoa wa Dar es salaam, Mziwanda  Chimwege (kushoto) akionesha chati cha ushindi kwa wajumbe mar...



Mwenyekiti mteule wa Chama Cha Wafanyakazi mkoa wa Dar es salaam, Mziwanda  Chimwege (kushoto) akionesha chati cha ushindi kwa wajumbe mara baada ya kukabidhiwa na msimamizi wa  uchaguzi Emmy Rweyendela kulia baada ya kuwabwaga wenzake wanne, uchaguzi uliofanyika Oktoba 20, 2017 Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHMISI MNUSSA)


Msimamizi wa
uchaguzi Emmy Rweyendela (kulia) akitangaza matokeo mara baada ya kupatikana mshindi





  Katibu (TUGHE) mkoa, Gaudensi
Kadyango alianza kwa kuwashukuru wajumbe kwa kazi nzuri ambayo wameifanya na pamoja na madongo lakini napenda kuwahakikishia ni moja ya kipimo cha uongozi na ninjia ya kutaka kufikia malengo , alisema Kadyango.

Pamoja na kutaka kumtoa Katibu anaye ongea lakini najua ni changamoto za kazi lakini nitaendelea kuchapa kazi kwa ushirikiano mkubwa na pia naomba haya yaliyoongelewa hapa yaishie hapahapa na mimi nipo na moyo mweupe na ninajua ni mambo ya kazi, aliendelea kusema.

Napenda niwahakikishie kwamba mimi ni mkomavu na niwatowe hofu nipo pamoja na ninyi kwa moyo mweupe na msisite kwa lolote na ninajuwa nichangamoto ya kupenya katika kufika mtu anapopataka kufika.

Napenda kuchukua fulsa hii ya kumpongeza Mwenyekiti mteule na kukuhakikishia sisi makatibu wa mikoa na wajumbe hawa tunakupa ushirikiano wa kutosha ili ufikie malengo yako na tuanzie kwenye matawi na kama sisi wenyewe kama viongozi.

Ndugu wajumbe na omba tuwe mfano kwa kuanzia katika matawi na utaongoza mikoa mitatu nayote utahakikisha unatimiza wajibu katika mikoa hiyo  alisema Kadyngo


 Mwenyekiti Kamati ya Wanawake (TUGHE) Taifa, Dokt. Jane Madete (kushoto) aliomba kumpa ushirikiano Mwenyekiti huyo kutoka katika  Kamati tendaji matawi, mikoa na hata ngazi ya Taifa kwa yale yatakayohusu mikoa na tunakupongeza sana
Mwenyekiti mteule  mkoa wa Dar es salaam, Mziwanda  Chimwege akizungumza jambo mara baada ya kuchaguliwa kukiongoza Chama hicho kwa miaka mitano
Msimamizi wa
uchaguzi, Emmy Rweyendela (kulia) akimkabidhi cheti cha ushindi 
Mwenyekiti mteule  mkoa wa Dar es salaam, Mziwanda  Chimwege katikati na kushoto ni Katibu (TUGHE) Mkoa, Gaudensi Kadyango

Mwenyekiti mteule Mziwanda Chimwege (wa pili kulia waliokaa)  katika picha ya pamoja na wajumbe


Baadhi ya wagombea waliokosa kinyanganyiro hicho , Almas Mzee
amempongeza Mwenyekiti huyo mpya na kuahidi kumpatia ushirikiano ili
kuleta tija.

 Mwenyekiti mteule akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) alisema




 Namshuru Mungu kwa nafasi hii kutokana na  usimamizi bora wa sera nilizo jipangia ambazo  zitakazomlinda  mfanyakazi, pamoja  na kufufua matawi ngazi za mkoa  ili kutetea masilahi  ya wafanyakazi na watumishi ndani ya chama. Ameongeza kuwa  uwazi wa matumizi na mapato ya fedha utakuwa wa usawa ili kumlinda mtumishi  katika kazi kwa kumuunga mkono Rais Magufuli kwa sera yake ya HAPA KAZI

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHAMA CHA WAFANYAKAZI (TUGHE) MKOA WA DAR ES SALAAM CHAPATA MWENYEKITI MPYA
CHAMA CHA WAFANYAKAZI (TUGHE) MKOA WA DAR ES SALAAM CHAPATA MWENYEKITI MPYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwA-sqmV09EfdU8RTFXjpX3h9PGoXAdhaSnkt2N7LyAp2uNywvvW3iYJYnFT2GlQyM7W-UHcJjOEv5lpt_aJnhTfky_Q1fH3s-bb641399MePzhyphenhyphentdMjdrBYGb0dOs2c_ks7TFfW_PkHY/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwA-sqmV09EfdU8RTFXjpX3h9PGoXAdhaSnkt2N7LyAp2uNywvvW3iYJYnFT2GlQyM7W-UHcJjOEv5lpt_aJnhTfky_Q1fH3s-bb641399MePzhyphenhyphentdMjdrBYGb0dOs2c_ks7TFfW_PkHY/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/chama-cha-wafanyakazi-tughe-mkoa-wa-dar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/chama-cha-wafanyakazi-tughe-mkoa-wa-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy