MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya T...





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango ambapo pia ilishuhudiwa na Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo, Naibu Waziri Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji na Wadau wa Maendeleo kwenye Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati uzinduzi wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.

Sehemu ya Waliohudhuria wakipiga makofi mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango wakati akiwasili kwenye uzinduzi wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 - 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA
MAKAMU WA RAIS AZINDUA PROGRAMU YA MABORESHO YA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1SS-3tCtErz-ZkwaufRVsC_sVHklb718NNQXikuWVo2Tj82T4n2eTZlmh6IhDvaV4EYYA75mYIlBvhopJqJ93K2zyhYEGA2Dqh_I4EcrHh76S0I228B9AmlrG-iMRXpec98cDsiOezGiu/s640/20.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1SS-3tCtErz-ZkwaufRVsC_sVHklb718NNQXikuWVo2Tj82T4n2eTZlmh6IhDvaV4EYYA75mYIlBvhopJqJ93K2zyhYEGA2Dqh_I4EcrHh76S0I228B9AmlrG-iMRXpec98cDsiOezGiu/s72-c/20.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-azindua-programu-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/makamu-wa-rais-azindua-programu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy