MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SABUNI CHA KEDS CHA KIBAHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 1...





Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Bw. Jack Fen. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mifuko ya Sabuni ya unga aina ya Kleesoft wakati alipotembelea kiwand ia cha sabuni cha KEDS mjini Kibaha Septemba 19, 2017. Kulia kwakie ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni  Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Jack Fen. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ufungaji mitambo ya kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Bw. Jack Fen

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa serikali na Chama Tawala CCM baada ya kutembelea kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa serikali na Chama Tawala CCM baada ya kutembelea kiwanda cha vigae cha TWYFORD kilichopo Chalinze mkoani Pwani Septemba 19, 2017. Kushoto ni Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)









COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SABUNI CHA KEDS CHA KIBAHA
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SABUNI CHA KEDS CHA KIBAHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhE5Dwtqs5fe7PPwDL7YhgBsGx7bTMxDJjsW7MgT9iR32P2HGZDjP3TvFpSpV23bbe_ekVDdGPxFbGp_5oFDQdbl7dBc9ZY8JAvH8P0JWEOMPJPq_khldSg5s2xllKtl11eA5embAGNxZI/s640/PMO_8642.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhE5Dwtqs5fe7PPwDL7YhgBsGx7bTMxDJjsW7MgT9iR32P2HGZDjP3TvFpSpV23bbe_ekVDdGPxFbGp_5oFDQdbl7dBc9ZY8JAvH8P0JWEOMPJPq_khldSg5s2xllKtl11eA5embAGNxZI/s72-c/PMO_8642.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-sabuni.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/majaliwa-atembelea-kiwanda-cha-sabuni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy