ZOLA WATUA KWA KISHINDO DAR WAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE

Meneja Masoko wa ZOLA Tanzania, Irene Mbowe (katikati) akikata utepe kuzindua Duka jipya la kuuza na kutoa huduma za ZOLA lililopo Mwe...

Meneja Masoko wa ZOLA Tanzania, Irene Mbowe (katikati) akikata utepe kuzindua Duka jipya la kuuza na kutoa huduma za ZOLA lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo. Kulia ni Mkuu wa kitengo cha mauzo wa ZOLA, John Amach (kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steve Kimea wakishrikiana kukata utepe kuzindua duka hilo.
Meneja Masoko wa ZOLA Tanzania, Irene Mbowe (katikati) Mkuu wa kitengo cha mauzo wa ZOLA, John Amach (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steven Kimea wakifurahia kwa pamoja baada ya kuzindua duka hilo. 
Muonekano wa nje ya duka hilo
Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa ZOLA wakiwa zibe kuandaa vipeperushi kwaajili ya wateja wao. 
Muonekano wa mtaa lililopo Duka hilo maeneo ya Mwenge nyuma ya Kituo cha daladala cha Mwenge kuelekea Tegeta.
Baadhi ya wafanyakazi wa ZOLA wakitoa maelekezo kwa wateja ya jinsi ya kutumia mashine za ZOLA.
Baadhi ya wanahabari wakipata maelezo kuhusu ZOLA
Meneja Masoko wa ZOLA Tanzania, Irene Mbowe na Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steven Kimea wakijadiliana jambo katika Laptop kabla ya kuanza afla hiyo ya uzinduzi wa Duka jipya ambalo linatoa huduma mbalimbali za umeme wa ZOLA jijini Dar es Salaam leo.
Wanahabari kazini wakati wa uzinduzi huo
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steven Kimea, akizungumza na waandishi wa habari baada ya uzinduzi huo
********************************************
Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar
DUKA jipya linalouza vifaa na kutoa huduma za umeme wa ZOLA limezinduliwa Mwenge jijini Dar es Salaam leo. Akizungumza wakati uzinduzi wa Duka hilo la kwa mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steven Kimea, alitoa wito kwa Taasisi za Serikali ambazo hazina huduma ya umeme hasa vijijini kushirikiana nao ili kuwafikia watu wengi zaidi hasa kwenye vituo vya afya ili kuwasaidia wagojwa pamoja na kinamama wajawazito.
Amesema kuwa kampuni hiyo inayotoa umeme wa ZOLA hapa nchini imeshatoa huduma hiyo kwenye vituo vya Polisi pamoja na vituo vya huduma za afya na umeme upo vizuri.
Hata hivyo amesema kuwa utakapo nunua mtambo wa umeme wa ZOLA utatengenezewa mfumo wa umeme katika nyumba yako kwa bei nafuu na wengine kwani huduma zao zinalingana na maisha ya Mtanzania.
Amesema kuwa umeme wa ZOLA unaweza kutumika katika vifaa mbalimbali kama kuchaji simu, mashine za kunyolea, televisheni pamoja na kuwasha taa sita za ndani. Pia ukinunua vifaa vya ZOLA utapata dhamana(Warrant) ya miaka mitano endapo kifaa chochote kitaharibika mteja utatengenezewa bila gharama yeyote ile.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZOLA WATUA KWA KISHINDO DAR WAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE
ZOLA WATUA KWA KISHINDO DAR WAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizQlYpx-J3Oz9s5xuC0YC7nvIMlGd8oPevcCy94eCnLc6uuPucRvzu_UIzfQBiS6NSPU8jfpbasX90ciqbK7_LX_SggZLt-C99wI7gncRuO9HR3wH3jMYrHbTmKxwYeTly5Csv8uM8FmE/s640/6N.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizQlYpx-J3Oz9s5xuC0YC7nvIMlGd8oPevcCy94eCnLc6uuPucRvzu_UIzfQBiS6NSPU8jfpbasX90ciqbK7_LX_SggZLt-C99wI7gncRuO9HR3wH3jMYrHbTmKxwYeTly5Csv8uM8FmE/s72-c/6N.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/zola-watua-kwa-kishindo-dar-wazindua.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/zola-watua-kwa-kishindo-dar-wazindua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy