ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimpa pesa mwakilishi wa kwaya ya Viumbe wote kiasi cha shilingi laki moja...


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimpa pesa mwakilishi wa kwaya ya Viumbe wote kiasi cha shilingi laki moja na nusu kama sehemu ya mchango leo, Ulyankulu, Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora leo, mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi hao kwenye moja ya ziara yake Mkoani humo.

Mbunge wa Manonga na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora, Seif Khamis Gulamali ( katikati ) akimpa zawadi ya asali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora leo katika Viwanja vya Kolimba.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Mnange leo katika Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora leo, katika moja ya ziara zake Mkoani humo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimsalimia Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Magdalena Sakaya, mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwahutubia wananchi kwenye Viwanja vya Kolimba Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora leo, katika moja ya ziara zake mkoani humo. ( Picha na Raymond Urio )

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA
ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA
https://1.bp.blogspot.com/-XPRrTUWkL6M/WY6ayDVesgI/AAAAAAAA5zk/ij-1rQyw0kcwSE0ur1_kuMejaRKP7wmogCLcBGAs/s640/2.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-XPRrTUWkL6M/WY6ayDVesgI/AAAAAAAA5zk/ij-1rQyw0kcwSE0ur1_kuMejaRKP7wmogCLcBGAs/s72-c/2.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-waziri-mkuu-kassim-majaliwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ziara-ya-waziri-mkuu-kassim-majaliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy