F WAZIRI MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATES WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA | RobertOkanda

Thursday, August 10, 2017

WAZIRI MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATES WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es Salaam (katikati) ni Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation, Bilionea Bill Gates na Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene.


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkabidhi zawadi Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation, Bilionea Bill Gates wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es Salaam.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akionyesha kitabu cha mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam pamoja na Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates katikati na kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simbachawene.


Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya unaosimamiwa na Taasisi ya Bilionea Billgate Bill & Melinda Gates uliofanyika jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wa kwanza kushoto akisaini kitabu cha wageni wakati alipokutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa pili kushoto katika ofisi ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa afya wa kwanza kulia ni Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na Katibu Mkuu Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya kushoto katika ofisi ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.Wadau mbalimbali wa sekta ya afya wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu hayupo pichani jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.

0 comments:

Post a Comment