USCAF WASAINI MAKUBALIANO NA AIRTEL KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu UCSAF imesaini makubaliano na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanznia PLC  pamoja na makampuni mengine ya simu...



Na Mwandishi Wetu
UCSAF imesaini makubaliano na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanznia PLC  pamoja na makampuni mengine ya simu nchini kwa lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini. Hafla ya makubaliano hayo imefanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko wa mawasilano kwa wote jijini Dar es Salaam,

"Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi, Beatrice Singano Mallya alisema "Airtel tunasaini mkataba huu kwa lengo la kuendelea kutimiza dhamira yetu ya kutoa huduma za mawasiliano kote nchini zentye ubora na ubunifu wa hali ya juu”

Singano alisema kuwa "uwepo wa mawasiliano haya vijijini utasaidia hasa kutimiza malengo mbalimbali ambayo serikali imejiwekea katika kupanua uchumi wa nchi kwa ujumla katika Nyanja mbalimbali zikiwemo elimu, afya, uboreshwaji wa shughuli za kilimo pamoja na huduma za kibenki kwa maeneo ambayo yako pembezoni mwa nchi.Tunaimani maswala ya uslama kwa watanzania waliopo mipakani yataweza kutatuliwa kwa hara na ufanisi mkubwa kupitia mawasiliano.”  
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bi. Beatrice Suingano Malya wakisaini mkataba wa Mradi wa sita wa kupeleka mawasiliano kwa wote. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini yenye lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini na hafla hiyo imefanyika kwenye makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017.


Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Beatrice Suingano Malya, wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba wa sita wa kepeleka mawasiliano ya simu kwa wote. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini yenye lengo la kuhakikisha mawasiliano ya simu yanawafikia watanzania wote hadi vijijini na hafla hiyo imefanyika kwenye makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017.


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akimpongeza Mwakilsh wa Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Malya, mara baada ya Airtel kusaini mkataba wa sita wa Mradi wa kupeleka mawasiliano ya simu kwa wote na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCAF), jijini Dar es Salaam, Agosti 18, 2017




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: USCAF WASAINI MAKUBALIANO NA AIRTEL KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
USCAF WASAINI MAKUBALIANO NA AIRTEL KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTg2aAM4axZU9kPy9PTAmoJ9E4V_go2zAiCmGNydWGYtd0sNUGcihZcAtyz0sFpRL9Gu54lMc3H-FRVf0XYTufnqxSRN_japSY9NZSmQxB-stsF-pb4tFQUyZnFanywU4YyMDY-erDGno/s640/airtel.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTg2aAM4axZU9kPy9PTAmoJ9E4V_go2zAiCmGNydWGYtd0sNUGcihZcAtyz0sFpRL9Gu54lMc3H-FRVf0XYTufnqxSRN_japSY9NZSmQxB-stsF-pb4tFQUyZnFanywU4YyMDY-erDGno/s72-c/airtel.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/uscaf-wasaini-makubaliano-na-airtel.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/uscaf-wasaini-makubaliano-na-airtel.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy