TIGO YAKABIDHI KISIMA CHA MILIONI 18 KIJINI RORYA MKOA WA MARA

Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata ...




Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima mapema mwishoni wa wiki iliyopita.


Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akipampu maji wakati wa sherehe za uzinduzi wa kisima chenye thamni ya Tsh.18/- milioni kilichodhaminiwa na kampuni ya Tigo.


 



Mkuu wa wilaya Rorya- Samson Chacha akitwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha  Nyasoro, Penina Bailes


Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya,# akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Nyasoro kata ya Bukwe halmashauri ya wilaya ya Rorya mkoani Mara,Patero Opiyo mara baada ya uzinduzi wa kisima kilichochibwa kwa udhamini wa Tigo chenye thamani ya Tsh.18/- milioni 


Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima 

 



Wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kisima jana.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TIGO YAKABIDHI KISIMA CHA MILIONI 18 KIJINI RORYA MKOA WA MARA
TIGO YAKABIDHI KISIMA CHA MILIONI 18 KIJINI RORYA MKOA WA MARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyAF3btrBx4poYWmWP77dsU49N1PJPO-rro5YjO8EA3p8u2483PCyXnnUkYI97EXWrAa-MBqhP0aB8gpSivgpjTen-1l6Y9M7P07BtS8f18pSMLY01_73zr5u6r4gIWztADfWNKv4wap4/s640/Maswanya+akizungumza.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyAF3btrBx4poYWmWP77dsU49N1PJPO-rro5YjO8EA3p8u2483PCyXnnUkYI97EXWrAa-MBqhP0aB8gpSivgpjTen-1l6Y9M7P07BtS8f18pSMLY01_73zr5u6r4gIWztADfWNKv4wap4/s72-c/Maswanya+akizungumza.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/tigo-yakabidhi-kisima-cha-milioni-18.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/tigo-yakabidhi-kisima-cha-milioni-18.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy