SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msik...



Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika akifafanua jambo wakati wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kikanda katika viwanja vya Nanenane Mkoani Dodoma.

Afisa wa SSRA, Aminah Kisisa akigawa vipeperushi kwa moja ya wadau waliotembelea Banda la SSRA kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.


Afisa wa Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Ally Masaninga akifafanua kwa mmoja ya wadau waliotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.

Timu ya SSRA katika picha ya pamoja wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati yanayofanyika katika Viwanja vya Nanenane Mkoani Dodoma.


Sehemu ya wafanyakazi wa SSRA wakati wa Maonesho ya Nanenane.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA Bi Sarah Kibonde Msika, akimkabidhi mfuko wa SSRA pamoja na Vipeperushi Mratibu wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati, Mwinuka, Maonesho hayo yanaendelea Mkoani Dodoma.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika akiwa na wadau waliotembelea Banda la SSRA wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA VIWANJA VYA NZUNGUNI MKOANI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWDCH1R8iIDW-dm-Ay3W5CqTcI7e_Vl8ubYYxo3ya_-AFeBYWls77GoSW82iamwAMJGDG76Kron0FIbKTXAOeBjQX2t33Gh26cKD0_k1O_PJGz6smR79nH2nhKJSklBi9V8jkES-P9r6U/s640/P+1.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWDCH1R8iIDW-dm-Ay3W5CqTcI7e_Vl8ubYYxo3ya_-AFeBYWls77GoSW82iamwAMJGDG76Kron0FIbKTXAOeBjQX2t33Gh26cKD0_k1O_PJGz6smR79nH2nhKJSklBi9V8jkES-P9r6U/s72-c/P+1.PNG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ssra-yashiriki-maonesho-ya-nanenane.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ssra-yashiriki-maonesho-ya-nanenane.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy