RAS MBEYA AFUNGUA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA KUANDAA MIPANGO NA BAJETI KATIKA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akiagana na Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (...

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akiagana na Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu mara baada ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (Plan Rep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.Katikati ni Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei.

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta  (PlanRep)  leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa hiyo.

Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akiwasilisha mada kuhusu Uimarishaji wa Mfumo wa Sekta za Umma (PlanRep) utakavyosaidia katika upimaji matokeo na  utendaji wa Halmashauri nchini, wakati wa semina kuhusu mfumo huo leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Makao Makuu Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Mwakilishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Bw. James Mtatifikolo akifafanua jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Baadhi ya washiriki wa semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inayoendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Kiongozi wa wawezeshaji Bw. Frank Makua Charles akichokoza mada wakati wa semina katika akichokoza mada wakati siku ya kwanza ya semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Mmoja ya wawasilisha mada kutoka OR – TAMISEMI Bw. Jeremia Mtawa akiwasilisha mada kuhusu namna mfumo wa PlanRep utakavysaidia katika kuimarisha utendaji wa Halmashauri nchini wakati wa semina semina ya siku nane kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma katika upangaji mipango na bajeti (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inashirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akiwasilisha mada kuhusu Uimarishaji wa Mfumo wa Sekta za Umma (PlanRep) utakavyosaidia katika upimaji matokeo na  utendaji wa Halmashauri nchini, wakati wa semina kuhusu mfumo huo leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki washiriki wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) mara baada ya kufungua semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za Maafisa Mipango,Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.(PICHA ZOTE NA: IDARA YA HABARI – MAELEZO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAS MBEYA AFUNGUA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA KUANDAA MIPANGO NA BAJETI KATIKA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA
RAS MBEYA AFUNGUA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA KUANDAA MIPANGO NA BAJETI KATIKA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV6uhPizT3deMzT_VLLokwFvhJRXxgJvpE3GD1-WukCv4odl0PKgZB3nbDhIxNKom9L3FuSw2CEMUMQ0E33EiLpNJHyT5IH6mR9Vs2RTF1JJfk96V9kY4UORTEGpaQeTD2zpbK8JN-2Yhd/s640/PS6.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV6uhPizT3deMzT_VLLokwFvhJRXxgJvpE3GD1-WukCv4odl0PKgZB3nbDhIxNKom9L3FuSw2CEMUMQ0E33EiLpNJHyT5IH6mR9Vs2RTF1JJfk96V9kY4UORTEGpaQeTD2zpbK8JN-2Yhd/s72-c/PS6.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ras-mbeya-afungua-mafunzo-ya-mfumo-mpya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/ras-mbeya-afungua-mafunzo-ya-mfumo-mpya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy