MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI KWA ELIMU WANAYOITOA KUHUSU UTUNZAJI WA MALISHO

Mgeni rasmi Waziri wa Maji  na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge Akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea Wizara ya Kilimo Mifugo n...

Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge Akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akisalimiana na Afisa habari wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Ndg Issa Sabuni mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. 
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. 
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. 
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuchangamoto za masoko ya bidhaa zinazotengenezwa kwa ngozi kutoka kwa meneja wa Robi Leather Product Bi Rose Otieno mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. 
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge alipowasili kwenye Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
  

Na Mathias Canal, Lindi

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge ameipongeza Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi kwa elimu wanayoitoa kwa wananchi kuhusu utunzaji wa malisho ambayo ni nyasi na mikunde kwa ajili ya mifugo kwani jambo hilo litawawezesha wananchi kuwa na mifugo yenye afya bora.

Mhandisi Lwenge ameyasema hayo alipotembelea banda la Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi idara ya uzalishaji wa mifugo na masoko wakati wa Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

Alisema kuwa malisho ni chakula cha msingi cha mifugo ambacho kinajumuisha aina mbalimbali za nyasi na mikunde.

Pamoja na kutolewa elimu juu ya umuhimu wa utunzaji wa malisho lakini pia amesisiza zaidi wizara ya kilimo kutoa elimu kuhusu utunzaji wa malisho hayo jambo ambalo litawawezesha wafugaji kuipatia mifugo yao chakula bora na cha kutosha wakati wote.

Zipo faida nyingi za kupanda malisho ikiwa ni pamoja na kurahisisha upatikanaji wa chakula cha mifugo chenye viini lishe kama wanga, protini madini na vitamin.

Faida Zingine ni kurutubisha ardhi hasa malisho aina ya mikunde sambamba na kuzuia mmomonyoko wa ardhi.

Mhandisi Lwenge amesema kuwa malisho ndio chakula kikuu cha mifugo inayochengua (Ng’ombe, mbuzi, kondoo, punda na ngamia.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI KWA ELIMU WANAYOITOA KUHUSU UTUNZAJI WA MALISHO
MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI KWA ELIMU WANAYOITOA KUHUSU UTUNZAJI WA MALISHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEHt8Ua5IHw8w1aT4DXglh8QdPw8wuWXsoR7hkbtQkCBRI9gBXLK2i5dg6c3fDbWY9W3T2OW8tScu8AGw4J7N6CKLHGaBqyZaBQtTLPQBInLFgmZHwldGkbPzFhhpsdq3RVImCHlcPiyk/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEHt8Ua5IHw8w1aT4DXglh8QdPw8wuWXsoR7hkbtQkCBRI9gBXLK2i5dg6c3fDbWY9W3T2OW8tScu8AGw4J7N6CKLHGaBqyZaBQtTLPQBInLFgmZHwldGkbPzFhhpsdq3RVImCHlcPiyk/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mhandisi-lwenge-aipongeza-wizara-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mhandisi-lwenge-aipongeza-wizara-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy