MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJA MMOJA

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa Daladala ambao hufanya safari zao kituo cha River Side kwen...




Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja wa Madereva wa Daladala ambao hufanya safari zao kituo cha River Side kwenda Makoka mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na Dereva wa Bodaboda katika barabara ya Riverside Makoka mara baada ya kukagua barabara hiyo iliyochongwa kwa fedha za Mfuko wa jimbo.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Wakazi wa eneo la Ubungo Makoka mara alipo fika katika kituo cha Daladala eneo la Riverside kupata maoni yao nini kifanyike kuboresha barabara hiyo ili iweze kupitika muda wote

Mjumbe wa shina Makoka Phinias akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea juu ya barabara ya Makoka River side mara baada ya kuchonga barabara hiyo kwa kutumia fedha za mfuko wa jimbo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJA MMOJA
MBUNGE WA UBUNGO SAED KUBENEA AKAGUA BARABARA YA MAKOKA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI MMOJA MMOJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim0w1yEJX6oZ2ODpv-rWUVM4Lhk7-nm_2K_QOnL_Em07w4c4CLlbEwI4L5MZ3-2IXh-6wqgl-BA20aZRjacMMGQFrxWEmXXM5nK2fOJ7tssvlTnO6zcrjs0bfsALLYNHJqDpDSSuNP2kY/s640/_MG_0110.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEim0w1yEJX6oZ2ODpv-rWUVM4Lhk7-nm_2K_QOnL_Em07w4c4CLlbEwI4L5MZ3-2IXh-6wqgl-BA20aZRjacMMGQFrxWEmXXM5nK2fOJ7tssvlTnO6zcrjs0bfsALLYNHJqDpDSSuNP2kY/s72-c/_MG_0110.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mbunge-wa-ubungo-saed-kubenea-akagua.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mbunge-wa-ubungo-saed-kubenea-akagua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy