F MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AFUNGUA KONGAMANO LA WOMEN ADVANCING AFRICA (WAA) | RobertOkanda

Friday, August 11, 2017

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AFUNGUA KONGAMANO LA WOMEN ADVANCING AFRICA (WAA)


Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) lenye lengo  la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana, Kongamano linaloendelea jijini Dar es Salaam na kumalizika siku ya Jumamosi.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akiongea wakati wa ufunguzi wa konagamano hilo. Pamoja naye ni Mama Graca Machel.

0 comments:

Post a Comment