MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA TEHAMA KUANDA MIPANGO YA BAJETI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI WAFUNGULIWA MOROGORO.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari, akifungua mafunzo ya mfumo mpya ulioboreshwa wa Tehama utakaotumika kuandaa Mipango na...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari, akifungua mafunzo ya mfumo mpya ulioboreshwa wa Tehama utakaotumika kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka za Serikali za Mitaa na sekta zote za umma nchini, mkoani Morogoro jana. Mafunzo hayo yanafadhiliwa Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID).
Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu ya TEHAMA, Ofisi ya Rais Tamisemi, Baltazar Kibola, akiwasilisha mada juu ya mfumo mpya wa Tehama ulioboreshwa ujulikanao kama ‘PlanRep’ utakaoanza kutumika kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka za Serikali za Mitaa na sekta zote za umma, mkoani Morogoro jana. Mafunzo hayo yanafadhiliwa Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID).

Meneja Mifumo ya TEHAMA kutoka Mradi wa PS3, Revocatus Mtesigwa, akizungumza na washiriki wa mafunzo ya namna ya kutumia mfumo mpya ulioboreshwa wa Tehama (hawapo pichani) utakaotumika kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka za Serikali za Mitaa, mkoani Morogoro jana


Washiriki wa mafunzo ya mfumo mpya ulioboreshwa wa Tehama utakaotumika kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka za Serikali za Mitaa na sekta zote za umma, wakifuatilia mada mbalimbali zinazotolewa na wataalam kutoka Tamisemi na Mradi wa PS3, mkoani Morogoro jana. Mafunzo hayo yanafadhiliwa Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA TEHAMA KUANDA MIPANGO YA BAJETI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI WAFUNGULIWA MOROGORO.
MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA TEHAMA KUANDA MIPANGO YA BAJETI ZA MAMLAKA ZA SERIKALI WAFUNGULIWA MOROGORO.
https://1.bp.blogspot.com/--hJoq1LvYkA/WYtLVpGNYhI/AAAAAAAAWfs/BBzscuO2kes7sBUpnKVsibX4F900cF0lwCLcBGAs/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/--hJoq1LvYkA/WYtLVpGNYhI/AAAAAAAAWfs/BBzscuO2kes7sBUpnKVsibX4F900cF0lwCLcBGAs/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mafunzo-ya-mfumo-mpya-wa-tehama-kuanda.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mafunzo-ya-mfumo-mpya-wa-tehama-kuanda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy