KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akihutubia wakazi wa Kimara kata ya Kilungule wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua mir...Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akihutubia wakazi wa Kimara kata ya Kilungule wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo na kuwashukuru wapiga kura wake kupitia mkutano huo, ambapo aliahidi kutoa Milioni 20 za Mfuko wa jimbo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika kata hiyo.Wananchi wa kata ya Kilungule Kimara jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea katika mkutano wake wa hadhara.


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na mmoja wa wazee Maarufu wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo.


Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo.


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo.Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akifuatilia mkutano wa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Kimara Kilungule.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE
KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE
https://4.bp.blogspot.com/-yROPjynf53M/WYQZ0C3fMjI/AAAAAAAAL-o/1LVirRoLLBUHjxNKfpFT5DigOa_esq05ACLcBGAs/s640/_MG_0074.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-yROPjynf53M/WYQZ0C3fMjI/AAAAAAAAL-o/1LVirRoLLBUHjxNKfpFT5DigOa_esq05ACLcBGAs/s72-c/_MG_0074.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kubenea-atoa-milioni-20-za-mfuko-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kubenea-atoa-milioni-20-za-mfuko-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy