CHAMA CHA TAMA KUADHIMISHA SIKU YA WAKUNGA KATIKA WIKI YA UNYONYESHAJI

Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya...Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wanawakaribisha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam na Watanzania wote kwa ujumla, kushiriki kwenye maadhimisho ya siku ya wakunga Duniani yanayotarajiwa kufanyika leo asubuhi 

Ambayo Kitaifa huadhimishwa tarehe 5, Mei ya kila mwaka, TAMA Tawi la Muhimbili imepanga kuadhimisha siku ya 4 Agosti, 2017, ambayo ni wiki ya unyonyeshaji.

Chama kinapenda kuwajulisha katika maadhimisho hayo, Chama  kitatoa huduma za upimaji wa Afya kwa wananchi bure kuanzia saa 2, asubuhi mpaka saa 11.00 jioni katika eneo la maegesho ya magari (OPD) karibu na lango kuu la kutokea nje ya Hospitali hiyo.

Huduma zitakazo tolewa ni pamoja na: 

a. Upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi na matiti

b. Upimaji wa shinikizola damu, sukari, uzito na urefu

c. Upimaji wa virusi vya ukimwi (VVU) kwa hiari

d. Ushauri kuhusu lishe bora 

e. Ushauri kuhusu uzazi wa mpango

f. Elimu juu ya unyonyeshaji sahihi kwa watoto chini ya umuri wa miaka mwili

g. Elimu juu ya afya ya kinywa na meno 

Aidha TAMA Muhimbili itakuwa na kongamano la Kisyansi la wakunga tarehe 7, Agosti 2017 saa tatu asubuhi katika ukumbi wa namba 60 uliyopo eneo la jengo la OPD ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Ukunga na Mazingira ya ndani ya Hospitali hiyo,  Agnes Mtawa.

Maadhimisho ya siku ya mkunga duniani mwaka huu wa 2017, yanabebwa na kauli mbiu isemayo " WAKUNGA, WANAWAKEN FAMILIA NI WASHIRIKA WA KUDUMU"  

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHAMA CHA TAMA KUADHIMISHA SIKU YA WAKUNGA KATIKA WIKI YA UNYONYESHAJI
CHAMA CHA TAMA KUADHIMISHA SIKU YA WAKUNGA KATIKA WIKI YA UNYONYESHAJI
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chama-cha-tama-kuadhimisha-siku-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chama-cha-tama-kuadhimisha-siku-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy