CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA CHATANGAZA MKUTANO WAKE MKUU WA 34 WA MWAKA

Na Dotto Mwaibale Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) kimetangaza mkutano wa mkuu wa 34 wa mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka huu n...Na Dotto Mwaibale

Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) kimetangaza mkutano wa mkuu wa 34 wa mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni Sera za Afya kwanza katika utekelezaji wa malengo 17 ya Maendeleo endelevu 2016-2030.Wadau wa maendeleo hasa idara za  Serikali, Sekta Binafsi, Vyuo Vikuu, Taasisi za Utafiti na Mashirika yasio ya kiserikali na ya kimataifa na wananchi kwa ujumla wameombwa kuwakilisha andiko litakalosomwa kwenye mkutano huo na kisha kujadiliwa na hata kufikia maazimio ya pamoja mkutano huo kwa mwaka huu unatarajia kufanyika mkoani Singida.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA CHATANGAZA MKUTANO WAKE MKUU WA 34 WA MWAKA
CHAMA CHA AFYA YA JAMII TANZANIA CHATANGAZA MKUTANO WAKE MKUU WA 34 WA MWAKA
https://3.bp.blogspot.com/-Z-FJJwPjVgE/WZAp-9K4NZI/AAAAAAAAb0o/pXdtbpuTUFUm1E3YphSV7biEeZdVJvcxACLcBGAs/s640/IMG-20170813-WA0008.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-Z-FJJwPjVgE/WZAp-9K4NZI/AAAAAAAAb0o/pXdtbpuTUFUm1E3YphSV7biEeZdVJvcxACLcBGAs/s72-c/IMG-20170813-WA0008.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chama-cha-afya-ya-jamii-tanzania.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chama-cha-afya-ya-jamii-tanzania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy