BWANA PALLANGYO NA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU

 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa...


 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa Bw. Nelson Charles Pallangyo na Bi. Theresia Justine Byakwaga iliyofanyika Agosti 5, 2017 na baadae sherehe ikafanyika ukumbi wa Samawe Complex. (PICHA ZOTE NA KAJUNASON/MMG - KARATU)


Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo  akimvalisha pete mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017. 

Bibi Harusi Theresia Justine Byakwaga akimvalisha pete mumewe Nelson Charles Pallangyo wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017.
Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo na mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga wakila kiapo cha uaminifu wakati wakifunga ndoa yao takatifu. Pembeni ni wasimamizi wao.
 Waumini wakifuatilia ibada.
  Mchungaji akiwagawia vyeti.
 Maharusi wakionyesha vyeti vyao mara baada ya kufunga ndoa. Pembeni ni wasimamizi wao.
 Maharusi wakitoka kanisani.
 Wazazi wa Bwana Harusi (kushoto), Charles Pallangyo na Bibi Harusi (kati mwenye shati la blue) Justine Byakwaga wakizungumza machache na mchungaji mara baada ya kufungisha ndoa ya watoto wao Nelson Charles Pallangyo na Bi. Theresia Byakwaga.
 Pongezi za ndugu, jamaa na marafiki mara baada ya kutoka kanisani.
 Pongeni na shamra shamra zikiendelea.
 Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo na Bibi Harusi Theresia Justine Byakwaga wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili.
   Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na maharusi.
Maharusi wakikaribushwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele....

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BWANA PALLANGYO NA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU
BWANA PALLANGYO NA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU
https://3.bp.blogspot.com/-u4M-WiqX4ns/WYbRFyO6TfI/AAAAAAACCTQ/oot_cdVuW-MyFBOPep-rLHwLfqtttHp_QCLcBGAs/s640/IMG_5174.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-u4M-WiqX4ns/WYbRFyO6TfI/AAAAAAACCTQ/oot_cdVuW-MyFBOPep-rLHwLfqtttHp_QCLcBGAs/s72-c/IMG_5174.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/bwana-pallangyo-na-byakwaga-wafunga.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/bwana-pallangyo-na-byakwaga-wafunga.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy