WAZIRI WA FEDHA, DKT. PHILIP MPANGO AIPONGEZA PPRA KWA KUSAIDIA SERIKALI KATIKA KUZIBA MYANYA YA MANUNUZI HOLELA SERIKALINI

 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, (kulia), akizungumza wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi katika ...


 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, (kulia), akizungumza wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi katika sekta ya Umma (PPRA) kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, wakati wa maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Wanaomsikiliza wakwanza kulia, ni Meneja wa Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya TEHAMA  wa PPRA, Bw.Bernard Ntelya na Afisa  Mwandamizi wa Mamlaka hiyo, Bw. Mcharo Mrutu.

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, imeipongeza Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi katika sekta ya Umma (PPRA), kwa kuisaidia serikali kuziba yanya ya upotevu wa fedha na uonevu uliokuwa ukifanywa katika manunuzi kwenye sekta ya umma, lakini akaishauri itoe elimu zaidi kwani watu wengi wakiwemo maafisa wa serikali bado hawajaelimika vya kutosha kuhusu wajibu wa kuitumia na kufuata taratibu za PPRA.
Waziri aliyasema hayo wakati alipotembelea banda la Mamlaka hiyo ambayo inashiriki maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.
Dkt. Mpango alisema "Mnafanya kazi nzuri sana kwa hivi sasa, lakini mnatakiwa kuongeza juhudi katika kuelimisha kuhusu umuhimu wa kufuata taratibu za manunuzi katika sekta ya umma." Alisema Dkt. Mpango.
PPRA imeanzishwa kwa sheria ya manunuzi ya Umma CAP 410 kama ilivyobadilishwa
na Sheria ya Manunuzi ya Umma ya namba 7 ya mwaka 2011 ambayo inatoa Mamlaka ya
kusimamia manunuzi ya umma kwa taasisi zote za Umma (Serikali), upande wa Tanzania
Bara.
 Waziri Dkt. Mpango, (kulia), akitazama vipeperushi vyenye taarifa za Mamlaka hiyo.


 Waziri Dkt. Mpango akiwa na Mkuu wa Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ben Mwaipaja, (wapili kulia), wakatinakianza kutembeela banda hilo.
Meneja wa Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya TEHAMA  wa PPRA, Bw.Bernard Ntely(kulia), akimsikiliza Mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mamlaka hiyo ili kupata ufafanuzi wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA FEDHA, DKT. PHILIP MPANGO AIPONGEZA PPRA KWA KUSAIDIA SERIKALI KATIKA KUZIBA MYANYA YA MANUNUZI HOLELA SERIKALINI
WAZIRI WA FEDHA, DKT. PHILIP MPANGO AIPONGEZA PPRA KWA KUSAIDIA SERIKALI KATIKA KUZIBA MYANYA YA MANUNUZI HOLELA SERIKALINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhh4uYxn6goCWBmtf5RPL8mgp8EHKGYzQk9HJz2b-UJZ_W3G_x5R3DEBFyoVYyJ6OYHkgqzR2GST0UAKuWJoTdLlvVewN3nS_KvJ9cMjXUrLlvWbXlJUoYIjcyoUrEAYAIvsc5vSwNEYq4/s640/5R5A1459.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhh4uYxn6goCWBmtf5RPL8mgp8EHKGYzQk9HJz2b-UJZ_W3G_x5R3DEBFyoVYyJ6OYHkgqzR2GST0UAKuWJoTdLlvVewN3nS_KvJ9cMjXUrLlvWbXlJUoYIjcyoUrEAYAIvsc5vSwNEYq4/s72-c/5R5A1459.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-fedha-dkt-philip-mpango.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-fedha-dkt-philip-mpango.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy