WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage akipeana mkono na Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuk...


 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage akipeana mkono na Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai 1, 2017.
 Waziri Mwijage akizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.
 Waziri Mwijage akipeana mkono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Pauline Msanga
 Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao.
 Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo
 Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
  Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Waziri Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo. Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Ben Mwaipaja.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
WAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilvJE3f6boIsh4oCqherb0qe3QQxNChUT_IzGcJWgG9UrL4VmaV5BQawLeFe7cjSncpEtgIBT8SZ_hpr71UWj4jOQHEwLuJqXiruhxBYqtXKXMoRXT-brLEZTy4Jdd9-PmMa75E7Sx6rE/s640/5R5A8210+-+Copy.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilvJE3f6boIsh4oCqherb0qe3QQxNChUT_IzGcJWgG9UrL4VmaV5BQawLeFe7cjSncpEtgIBT8SZ_hpr71UWj4jOQHEwLuJqXiruhxBYqtXKXMoRXT-brLEZTy4Jdd9-PmMa75E7Sx6rE/s72-c/5R5A8210+-+Copy.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mwijage-aipongeza-ppf-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mwijage-aipongeza-ppf-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy