WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA TATIZO LA UMEME LINDI NA MTWARA KUWA HISTORIA, MRADI WA UMEEM WA TANESCO MAHUMBIKA NI MKOMBOZI

NA K-VIS BLOG, Lindi WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea kituo cha kupoza na kusafirisha umeme kilichoko kijiji cha Mah...


NA K-VIS BLOG, Lindi
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea kituo cha kupoza na
kusafirisha umeme kilichoko kijiji cha Mahumbika kilichoko Wilaya ya Lindi na
kusema tatizo la kukatika umeme mikoa ya Lindi na Mtwara kumalizika kabisa
ujenzi wa kituo hicho utakapokamilika.

Waziri Mkuu ambaye alitembelea mradi huo jioni ya Alhamisi Julai
13, 2017, alisema mradi huo utakapokamilika, uwezo wa kusafirisha umeme
utafikia Msongo wa Kilovoti 132, kutoka Msongo wa kilovoti 32 za sasa.

Waziri Mmju alisema azma ya Serikali kupitia Shirika lake la umeme
TANESCO ni kuongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme kote nchini ili Watanzania
wapate umeme mwingi na wa uhakika utakaosambazwa hadi vijijini na kwa gharama
nafuu.

“Mikoa wa Lindina Mtwara ilikuwa na shida kubwa ya kukatika kwa
umeme mara kwa mara mradi huu ni mkombozi kwa wana Lindi na Mtwara,
tunawakaribisha wawekezaji waje kuwekeza kwa sababu sasa nishati ya umeme ni ya
uhakika.” Alisema Mhe. Majaliwa.
Alisema mradi huo umegharimu kiasi cha Sh. bilioni 16 fedha za
walipa kodi wa Tanzania.

Naye Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James
Mdoe amesema mradi huu utawezesha kuimarika kwa upatikanaji wa umeme wa uhakika
na hivyo kuwahakikishia Watanzania kuwa safari ya kuelekea ujenzi wa uchumi wa
viwanda ni ya uhakika.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Prof. James Mdoe, wakati alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaojengwa katika
kijiji cha Mahumbika wilayani Lindi,
akiwa njiani kuelekea Lindi, Waziri
Mkuu yupo Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku
nne (katikati) ni Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Mnauye. 13, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Mhe. Waziri Mkuu, akikagua mradi huo wa Mahumbika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea maelezo ya mradi wa kuzalisha umeme unaojengwa katika kijiji cha
Mahumbika wilayani Lindi kutoka kwa Mhandisi Jafary Msuya,
wakati alipotembelea mradi huo unaojengwa katika kijiji cha
Mahumbika wilayani Lindi
, Waziri Mkuu yupo Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne 13, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea maelezo ya mradi wa kuzalisha umeme unaojengwa katika kijiji cha
Mahumbika wilayani Lindi kutoka kwa Mhandisi Ferdinand Mwinje,
wakati akikagua mradi huo unaojengwa katika kijiji cha
Mahumbika wilayani Lindi
, Waziri Mkuu yupo Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne 13, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiongea na wananchi, wakati alipotembelea
mradi wa kuzalisha umeme wa Mahumbika, unaojengwa katika kijiji cha Mahumbika
wilayani Lindi
, Waziri Mkuu yupo Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne 13, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)​

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA TATIZO LA UMEME LINDI NA MTWARA KUWA HISTORIA, MRADI WA UMEEM WA TANESCO MAHUMBIKA NI MKOMBOZI
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA TATIZO LA UMEME LINDI NA MTWARA KUWA HISTORIA, MRADI WA UMEEM WA TANESCO MAHUMBIKA NI MKOMBOZI
https://4.bp.blogspot.com/-XnqOIcRaZ7E/WWhMV_qFRmI/AAAAAAAA4OE/ZoCSssYB378uZG-sSBqiaFgtr_umsSTyACLcBGAs/s640/PMO_2302.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-XnqOIcRaZ7E/WWhMV_qFRmI/AAAAAAAA4OE/ZoCSssYB378uZG-sSBqiaFgtr_umsSTyACLcBGAs/s72-c/PMO_2302.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-majaliwa-asema-tatizo-la.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-majaliwa-asema-tatizo-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy