F WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA MKONO WA POLE WAZIRI MWAKYEMBE KWA KUFIWA NA MKEWE LINAH | RobertOkanda

Sunday, July 16, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA MKONO WA POLE WAZIRI MWAKYEMBE KWA KUFIWA NA MKEWE LINAH


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi mchango wa rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, alipohudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dkt. Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe,, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu Kassim, Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo, alipohudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe,, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, alipohudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dkt. Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri. Julai 16, 2017.

0 comments:

Post a Comment