WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia  katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jaka...


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia  katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma.
 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sampuli mbalimbali za korosho katika wakati alipotembelea banda la Ushirika wa Ruangwa, Nachingwea Liwale Cooperative Union (RUNALI) Limited  katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Julai 30, 2017. Kushoto  kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba na kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Convenant, Sabetha Mwambenja
 Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa ikiongoza maandamano katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhe. Tate William Ole- Nasha baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma  kuhutubia katika kilele cha  Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma. Katikati ni
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYJuy2AGctVxkGGiCfx6MdlioyNsy4LD1azKflJ_Yq4IQR0MqX26mkgb1RFeOB6ZD1uFa5jlMc7RULwbvcRL5staj5yn3kHPWZbhwXtUDj1d6g4VMMIZyfyXNm17fVUrlTFLFB8jx4iBc/s640/unnamed+%252851%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYJuy2AGctVxkGGiCfx6MdlioyNsy4LD1azKflJ_Yq4IQR0MqX26mkgb1RFeOB6ZD1uFa5jlMc7RULwbvcRL5staj5yn3kHPWZbhwXtUDj1d6g4VMMIZyfyXNm17fVUrlTFLFB8jx4iBc/s72-c/unnamed+%252851%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-katika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy