USIKOSE UZINDUZI WA ALBAMU YA JERUSALEM CITY SINGERS MWANZA

Uzinduzi wa albamu ya tatu kutoka kwaya ya JERUSALEM CITY SINGERS ya Bugarika Jijini Mwanza, unatarajiwa kufanyika jumapili ijayo Julai 23,...


Uzinduzi wa albamu ya tatu kutoka kwaya ya JERUSALEM CITY SINGERS ya Bugarika Jijini Mwanza, unatarajiwa kufanyika jumapili ijayo Julai 23,2017 katika viunga vya Rock/ Kishimba Beach Garden Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa kwaya hiyo, Samwel Maneno amesema hakuna kiingilio katika uzinduzi huo na kwamba shughuli nzima itaanza majira ya saa saba kamili mchana ambapo waimbaji mbalimbali wakiwemo Born To Praise, Voice Of Calvary na Lake Zone watahudumu siku hiyo.

"Hii ni albamu yetu ya tatu ya video iitwayo MUNGU WA AJABU ambapo imetanguliwa na albamu mbili ambazo ni DUNIA MAHUTUTI na HAJAKUSAHAU hivyo nawakaribisha watu wote kushiriki nasi kwenye uzinduzi huo". Amesema Maneno.

Usikose uzinduzi huu, ni Jumapili ijayo Julai 23,2017 katika viunga vya Rock/ Kishimba Beach Garden Jijini Mwanza, kuanzia saa saba kamili mchana, ambapo hakuna kiingilio. Wasiliana na Jerusalem City Singers 0758 06 10 44[/caption]
Bonyeza HAPA taarifa zaidi

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: USIKOSE UZINDUZI WA ALBAMU YA JERUSALEM CITY SINGERS MWANZA
USIKOSE UZINDUZI WA ALBAMU YA JERUSALEM CITY SINGERS MWANZA
http://www.bmghabari.com/wp-content/uploads/2017/07/JERUSALEM-1024x585.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/usikose-uzinduzi-wa-albamu-ya-jerusalem.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/usikose-uzinduzi-wa-albamu-ya-jerusalem.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy