F TRA YAKUSANYA TRILIONI 14.4 KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17 | RobertOkanda

Tuesday, July 11, 2017

TRA YAKUSANYA TRILIONI 14.4 KWA MWAKA WA FEDHA 2016/17
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo akiongea na waandishi wa Habari Dar es Salaam leo.

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa  TRA, Mary Mwayela akibadilishana mawazo na Afisa Msaidizi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi, Chama Siriwa wakati wa mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam leo. Katikati ni Afisa Habari Mwandamizi wa Mamlaka hiyo, Rechol Mkundai. (Imeandaliwa na Okanda Blogs)


0 comments:

Post a Comment