TAASISI YA ELIMU YA 'BRITISH COUNCIL' YATOA FURSA KWA WANANACHI KUJIPIMA KIINGEREZA

Mkurugenzi Mkazi wa Taisis ya British Council nchini Tanzania Angela Hennelly akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar e...


Mkurugenzi Mkazi wa Taisis ya British Council nchini Tanzania Angela Hennelly akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu ofa ya jaribibo la mtihani wa Kiingereza inayotolewa na Taasisi yake katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF). Kushoto ni Afisa Huduma kwa Wateja na Mauzo, Leonia Kazimoto na Maneja Maendeleo ya Biashara wa Britishi Council, Amata Bosco.

Mkurugenzi Mkazi wa British Council nchini Tanzania, Angela Hennelly akitoa maelekezo kwa wanafunzi waliofika katika banda lao kwa ajili ya kufanya majaribio ya somo la lugha ya Kiingereza huduma inayotolewa bure na Taasisi hiyo katika kipindi hiuki cha Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara. Huduma hiyo inatolewa kwa lengo la kutambua kiwango cha uelewa wa mwanafunzi ili kujua Kozi hali anayostahili kujiunganayo.
 

Baadhi ya wananchi wakifanya mtihani wa majaribio wa lugha ya Kiingereza walipotembelea banda la British Council katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF). Britishi Council wanatoa huduma hiyo bure kwa lengo la kumpatia fursa mwananchi kutambua daraja hali analostahili kujiunga nalo ikiwa anahitaji kusoma somo la lugha hiyo.
 

Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya British Council nchini Tanzania, Angela Hennelly akifuatilia  wananchi waliofika katika banda lao kwa ajili ya kufanya majaribio ya somo la lugha ya Kiingereza, huduma inayotolewa bure na Taasisi hiyo katika kipindi hiki cha Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara. Huduma hiyo inatolewa kwa lengo la kutambua kiwango cha uelewa wa mwanafunzi ili kujua Kozi hali anayostahili kujiunganayo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAASISI YA ELIMU YA 'BRITISH COUNCIL' YATOA FURSA KWA WANANACHI KUJIPIMA KIINGEREZA
TAASISI YA ELIMU YA 'BRITISH COUNCIL' YATOA FURSA KWA WANANACHI KUJIPIMA KIINGEREZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhiNE1anROO6vrn4Fx6CXtuqcyJWnzUd1sGqF1B6TcsPtMFLpZW8dPDbLchADtDJ1ee3JliWw5x0Izn0x7jR6BNdyEg-G74eFS6J10XJoir_1hJvOtG8O-0fa1GNyU-H7fyrABhdv99M8/s640/unnamed.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhiNE1anROO6vrn4Fx6CXtuqcyJWnzUd1sGqF1B6TcsPtMFLpZW8dPDbLchADtDJ1ee3JliWw5x0Izn0x7jR6BNdyEg-G74eFS6J10XJoir_1hJvOtG8O-0fa1GNyU-H7fyrABhdv99M8/s72-c/unnamed.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/taasisi-ya-elimu-ya-british-council.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/taasisi-ya-elimu-ya-british-council.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy